Magufuli vs Lowassa – the online evidence

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
Google-and-Twitter-trends-July-Aug-2015-v2.png

Nipashe, 31/7/15

The two main contenders for the presidency in Tanzania's forthcoming elections are now known. CCM chose John Magufuli as their nominee in mid July, after which Edward Lowassa switched sides and will run for president on the Chadema (and thus also UKAWA) ticket.

Bosses in parties have tried to stage-manage the nomination process to generate maximum publicity for their party and candidate. And in one sense they have both succeeded: the newspapers gave blanket coverage first to CCM and Magufuli, and then to Lowassa and Chadema/UKAWA.

But in this internet era, we can begin to compare how well the two campaigns have captured the interest of people online.
There are two charts below, both showing trends over the past 30 days. The first shows the number of times each day that someone searched on Google either of the two candidates or President Kikwete – using Google Trends. The second shows the number of times anyone mentioned their names on Twitter – using a tool called Topsy. I have lined the two charts up so that the dates match, but it is impossible to compare the scales of the two charts, not least because Google Trends does not give actual numbers, just relatives.

I will post a couple of thoughts below, but before that, a note of caution about interpreting these charts. The online community is very small in Tanzania. It is also proportionally younger, more urban, more educated and wealthier than the population as a whole – all of which are factors associated with higher support for opposition parties in Tanzania. Further, the charts show data from worldwide – so they include search terms and twitter mentions from people in New York and London as well as in Dar es Salaam and Dodoma.

But with those caveats aside, there are several points worth noting here.

Most obviously, in both Google searches and Twitter mentions, John Magufuli peaked around the time of the CCM nomination meetings in Dodoma – July 11-13. Similarly, Edward Lowassa peaked around the dates when his move to Chadema was announced.

Digging a little deeper, we can see that on both platforms, Magufuli's line was firmly on zero until the CCM meetings in Dodoma.

Mwananchi, 15/7/15

This serves as a reminder both that he was not a front-runner, and that he had never established either a personal online presence or supporters' movement.
Again on both platforms, Magufuli's bump was short-lived. By the following weekend his name had almost disappeared from Twitter. On Google, the bump lasted a little longer.
Most intriguingly, there is a striking difference between how the two candidates scored on the two platforms. On Twitter, Magufuli's mid-July bump was more than twice as big as Lowassa's bump later in the month. In contrast, on Google, the peak in searches for Lowassa was higher than the peak in searches for Magufuli.
It is not clear why Magufuli's peak on Twitter was so much higher than Lowassa's or why Lowassa apparently did much better in Google searches than on Twitter.

H/T Semkae Kilonzo and Mike Mushi for the idea.

mtega

development, politics, the media, Tanzania

Skip to content

Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki

Na Edgar Lengai - Imechapwa 26 March 2008

NINAJADILI hapa baada ya kugundua jitihada zinazofanywa na baadhi ya vyombo vya habari kutaka kumsafisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kuhusu uovu wa mkataba wa Richmond, baada ya mweyewe kushindwa kujitetea bungeni.

Lowassa anaijua nguvu ya vyombo vya habari ndiyo maana anavitumia baadhi yake ili kutimiza malengo yake.
Kwanza, kitendo cha kujizulu bila ya kutoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wake katika kupewa kampuni ya Richmond kazi ya kuzalisha umeme wa dharura, kimeacha maswali mengi.

Tulitarajia alipopewa nafasi na Spika kusema, angalau angeeleza anachokijua. Hakusema, badala yake aliishia kulalamika, eti Kamati Teule ya Bunge haikumtendea haki kwa kutomhoji.
Kama msimamizi wa mchakato wa kupatikana kampuni ya kufua umeme wa dharura, angeeleza bayana kilichotokea kabla ya kutamka kujiuzulu.

Lowassa alikuwa na jukwaa zuri la kumsaidia si tu kujibu hoja za Kamati, bali pia kulieleza Bunge na wananchi kwanini hapaswi kuhusishwa na kashfa hii?
Ushiriki wake ulikuaje? Ni kweli hakuchukua rushwa? Au kwa nini alivunja maamuzi halali ya Baraza la Mawaziri? Kitu gani kilimsukuma avunje Sheria ya Manunuzi ya Umma?
Alitakiwa kusema si kutafuna maneno, kwanini aliruhusu kampuni hewa na isiyokuwa na uwezo kupewa zabuni kubwa na nyeti kama hiyo?

Katika yote haya, alikuwa anawasilisha ripoti yake kamilifu kwa bosi wake (Rais Jakaya Kikwete)? Kama ni hivyo, kwa nini alimdanganya rais hadi naye akaudanganya ulimwengu? Mbona wakati haya yanafanyika, Lowassa na wenzake walinyamaza? Katika mahojiano na Televisheni ya Taifa (TvT), anasema alitaka kuvunja mkataba mara mbili alipobaini Richmond ni kampuni ya kitapeli, lakini wataaalam walimkatalia.

Hili haliingii akilini hata kidogo. Hivi ni mtaalam gani wa sheria au hata mambo ya ugavi anayeweza kutetea kampuni ya kitapeli? Au Lowassa anataka kusema hajui maana ya neno "tapeli?" Je, hajui utapeli ni kosa la jinai?

Kwanza serikali ndio ingekuwa ya kwanza kuishitaki Richmond kwa utapeli, kukaa kimya mpaka Bunge liunde Kamati Teule na ndipo hilo lijulikane, kunazidi kutuzuga.

Ripoti ya wataalam waliochunguza mikataba mingi ya kampuni za kuzalisha umeme na Shirika la Umeme nchini (TANESCO), inasema kwenye mkataba wa Tanesco na Richmond, kuna vipengele vinavyoipendelea Tanesco.

Kama ni hivyo, kwanini hakuruhusu Tanesco kujitoa katika mkataba huo baada ya Richmond kutoa taarifa za uongo kuhusu uhalali wake kisheria wakati wa kuingia mkataba na TANESCO?

Au Lowassa hajui kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa mkataba huo? Kifungu 12.1(g) cha mkataba na Richmond kinasema, "Richmond itakuwa imekiuka mkataba ikitoa maelezo au taarifa zitakazothibitika ni za uongo wakati zilipotolewa na ambazo zinaathiri uwezo wa kampuni hiyo kutekeleza majukumu yake yaliyoainishwa na mkataba."

Na kwa mujibu wa masharti ya kifungu 12.3(c) cha mkataba, Tanesco ina haki ya kuuvunja kutokana na kitendo cha Richmond kuukiuka mapema.

Pia Tanesco ilikuwa na uhuru na haki ya kuvunja mkataba kutokana na kujaa kwa mabwawa yanayozalisha umeme kama inavyofafanuliwa na kifungu 12.4 cha mkataba. "Hakuna madhara yoyote yangetokea kutokana na Tanesco kuvunja mkataba baada ya kuridhika na ongezeko la maji katika mabwawa yanayozalisha umeme."

Kifungu 4.4 cha mkataba kinatamka kuwa Richmond ilikuwa na wajibu wa kulipa fidia iwapo itashindwa kutimiza mkataba.

Lowassa atueleze hao wataalam anaodai walikuwa wakimshauri asivunje mkataba walitumia vigezo vipi?
Huyu ndiye Lowassa ambaye alipokuwa Waziri wa Maji na Maendeleo ya Mifugo aliitimua kampuni ya City Water ya Uingereza baada ya kuona ni wababaishaji, bila hata kusubiri maamuzi ya Baraza la Mawaziri? Wako wapi sasa wataalam waliomshauri?

Jambo nililogundua ni kuwa Lowassa anatafuta mtu wa kumfunga paka kengele.
Kitendo cha kuibebesha lawama Timu ya Makubaliano ya Serikali aliyoiteua mwenyewe ili kusimamia mchakato wa kupatikana mzabuni, pamoja na mawaziri wake ni kutaka kunawa mikono kama alivyofanya Pilato!

Lowassa anajikanganya kwa mambo mengi. Moja, kamati aliunda yeye na hivyo ilikuwa inawajibika kwake.
Alikuwa anapewa taarifa kila siku kuhusu mwenendo mzima wa mchakato wa zabuni ulivyokuwa unakwenda.
Pili, ni mwenyewe alisema hakuwa "mtu wa kukaa ofisini na kupokea taarifa, bali nafuatilia kwa ukaribu na kwa umakini taarifa za watendaji wangu."

Hii ina maana alikuwa anashiriki, au kujua kila hatua ya mchakato, badala ya kusuburi taarifa mezani.

Maneno 'kwa ukaribu na umakini' yanathibitisha dhahiri kuwa Lowassa alijua kila kitu na alishiriki kikamilifu mchakato wa kuipa Richmond mkataba.

Umakini na uhodari wake wa kuchapa kazi na hasa "staili" yake ya kufuatilia jambo kwa "umakini na kwa ukaribu sana," hatua kwa hatua kama anavyosema mwenyewe na Rais Jakaya Kikwete wakati anamteua, kunachochea wengi kuamini ilikuwa ni vigumu kwa mawaziri Dk. Ibrahim Msabaha na Nazir Karamagi, kufanya kazi kinyume na matakwa ya Lowassa.

Kwa msingi huo, Lowassa asingesubiri Kamati Teule iundwe ili umma ufahamu Richmond ilikuwa kampuni ya kitapeli wakati yeye alikuwa anajua siku nyingi.

Ni lazima kuna jambo alilotaka lifichwe.Jambo jingine Lowassa na wapambe wake wanajitahidi kulijengea hoja, ni vile alivyojiuzulu. Anasema, "?Mimi sikuwajibika kwa uzembe wangu, nimelazimika kuwajibika kwa uzembe wa wengine. Sikuwahi kuruhusu mambo yaende kienyeji. Sihusiki kabisa na suala hili kwani wapo wanaopaswa kubebeshwa mzigo huu (Msabaha, wajumbe wa GNT na watendaji wengine)." Haishii hapo. Anasema kujizulu kwake kunafanana na kujiuzulu kwa akina Ali Hassan Mwinyi na Peter Kisumo.

Lowassa hapa anacheza karata za siasa. Anaficha ukweli. Tutofautishe kujizulu kwa mzee Mwinyi alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Huyu aliwajibika siyo kwa kuhusishwa na kuamuru (kushinikiza), au kusimamia, bali alijiuzulu kwa kuwa ndiye mwenye dhamana ya wizara hiyo Katika suala la Richmond, waliojiuzulu wametajwa kwa ushahidi wa moja kwa moja au wa mazingira.

Lowassa atajifananishaje na mzee Mwinyi wakati mazingira yao ya kujiuzulu ni tofauti kabisa? Lakini lililo dhahiri ni kuwa Lowassa anajikanganya badala ya kujisafisha Mara aseme alikuwa anafuatilia kwa "ukaribu na umakini," mara hajawahi "kuruhusu mambo yaende kienyenji," mara "sihusiki kabisa na suala hili."

Kujikanganya huku, maana hawezi kusema hukuwa mtu wa kukaa tu ofisini na kusubiri taarifa ila alikuwa anafuatilia kwa ukaribu na kwa umakini, halafu hapohapo aseme hakuhusika na wala hakuruhusu mambo yaende kienyeji.
Ripoti ya PPRA na ya Dk. Mwakyembe zinasema wazi kulikuwepo ukiukwaji mkubwa na wa waziwazi wa Sheria ya Manunuzi ya Umma, na kwamba Richmond ilipata zabuni kwa mtindo wa "sandakalawe."

Leo tunaambiwa Lowassa na mkewe Regina walienda kuhiji Jerusalem kutokana na dhoruba hii. Lakini maana ya kuhiji ni pamoja na kutubu dhambi zote na kwa vile kutubu huwa ni jambo la siri, tunaamini Lowassa atakuwa amemwambia Mungu ukweli wa dhambi zake zote (na Mungu anazijua).

Atakuwa ameahidi kutozirudia. Lakini ningefurahi aliporudi angechukua sehemu ya mali zake akawapa maskini kama watoto yatima kama alivyofanya Mfarisayo aliyemwendea Yesu na kumtaka afanye ili auone ufalme wa mbinguni!
Baada ya kueleza yote aliyofanya, Yesu akamwambia basi "kauze mali zako uwagawie maskini?."

Chanzo Mwanahalisi
 
Ccm mmekwisha mwaka huu. Mtaleta propaganda zenu zakijinga lkn wananchi watawadi nguvu wenye nchi this time around
 
Ni vema wachangiaji na wenye data wakajibu hoja ili sisi wananchi wa kawaida tuweze kuujua ukweli wa jambo hili badala ya majibu mepesi kwenye hoja nzito zilizotolewa. Tunachanganyikiwa wananchi kujua kura zetu sasa tuzipeleke wapi. Tusaidiane kujua ukweli mapema ili tarehe 25 Oktoba tutendee haki kura zetu.
 
Tukiamua kujadili richmond tujadili na madudu mengine yote. Watanzania tusifanywe wajinga na ajenda ya richmond ili kuficha madudu mengine kipindi cha kampeni za uchaguzi. Vipi mabilioninya EPA, ESCROW, wanyama kusafirishwa hai, meno ya tembo, sembe, ripoti ya CAG juu ya ufujaji wa mabilioni ya barabara, uuzaji wa mabenki, nyumba za serikali, nk. Hivi haya hatuyaoni na cha kushangaza watuhumiwa wote wanapeta. Hebu acheni kucheza na akili zetu jamani. Tangazeni sera na kama kuna mwenye ushahidi wa madudu yote hapo juu na apeleke kwenye vyombo husika.

Hizo hoja za ufisadi waliofanya watu wote waliokonccm na nje ya ccm sasa hivi hazina mashiko tena. Tumeshasikia sana na watu wana maamuzi yao mioyoni mwao.

Eeh Mwenyezi tulinde waja wako
 
Kwa maneno ya lowasa anadai ule mkataba ni maagizo kutoka juu ingawa yeye alitaka kuuvunja. Sasa mpaka Leo serikali haijakanusha alichosema lowasa. Kdg bado kuna utata. Pia lowasa hakuwahi hata kuitwa na kamati ya maadili kuhojiwa juu ya hili hivyo bado tuhuma za Richmond kwa lowasa zinakuwa ngumu kuthibitisha
 
Lowasa bado ako na vikashifa vingi sana hawezi kusafishika. Kuna mvua za kublast hadi aliwaleta wakorea bahati nzuri walipokuwa kwenye mchakato mvua ikanyesha. Sikuona hiyo pesa ikirudishwa serikalini
 
Habari wakuu

Hii nimeipata mahali nikaona vema kushare hapa

Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zali". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari.

Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu. Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k.

Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi.

Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongoza nchi mara moja. Mtu huyu ni Edward Lowassa.

Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa. Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara. Tuangalie mifano:

Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA!
Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA.
Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA.
Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa, hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA. Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA.
Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumziko ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA.

UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala. NITAMPIGIA LOWASSA.
 
We nae kichwa maji kweli ulimuona Edo anasimamia ujenzi wa Udom au unatumia akr za kushikiwa?
 
we akili yako ni fupi sana!
hujui kua magufuli alitangaza nia kwa kuwaambia vyombo vya habari! au ulitaka nae aite kitchen party!!
 
Kwa maneno ya lowasa anadai ule mkataba ni maagizo kutoka juu ingawa yeye alitaka kuuvunja. Sasa mpaka Leo serikali haijakanusha alichosema lowasa. Kdg bado kuna utata. Pia lowasa hakuwahi hata kuitwa na kamati ya maadili kuhojiwa juu ya hili hivyo bado tuhuma za Richmond kwa lowasa zinakuwa ngumu kuthibitisha

Hukusikia mhe rais alichosema? Alisha jibu kwa busara kwamba hizo ni porojo na sifa za baadhi mawaziri kwa gharama ndogo. Kila waziri anapewa majukumu na rasilimali zote rais anahusikaje? Muda sio mrefu tutaelewa tu
 
Wananchi tulimpa kura JK ili asimamie maslahi yetu. Yeye alimteua Lowassa kuwa waziri mkuu. Kwa hiyo Lowassa hana kosa kwa sababu hakuchaguliwa na raia kuwa waziri mkuu. JK ana kosa kwa sababu mtu ambaye alituteulia kuwa waziri mkuu na kutuletea Richmond ambaye ni Lowassa hajachukuliwa hatua ya kuwaridhisha wananchi.

Hapa naona kuna kila sababu ya kuona kuwa Richmond ni ya Kikwete na Lowassa pamoja na washirika wao.

Kama hii ingemilikiwa na Lowassa pekee, angechukuliwa hatua kali na si kujiuzulu tu.

Michezo ya viongozi wa nchi hii hatuipendi na tumeichoka. Kwa nini wanapenda kuongoza watu kwa uongo? Huwezi kumwacha mtu adhoofishe utawala wako kwa ubadhirifu ilhali mwenyewe upo.

Tunapenda Mabadiliko ambayo hasa yawe kuondoka kwa waongo waje wengine. Nao wale waondoke.

Ukishamaliza kula, ondoka mpishe mwenzako ale pia
 
Back
Top Bottom