fieldmashal
Member
- Nov 22, 2015
- 78
- 3
Ndugu upo na mimi kila nikikaa nawaza sana nipo mkoa wa watu na maisha magumu sanaMh jpm nakumbuka wakati wa kampeni zako ukiwa morogoro uliwahi sema nakunukuu"najuwa hapa morogoro kuna vyuo vingi sana swala la mikopo nitalishugulikia tena anaye gawa hii mikopo hiiiiiiiiiiiiiiiiii ajiandae haiwezekani mwanafunzi akose mkopo tena mkopo! "mwisho wa kunukuu chakushangaza anaegawa mikopo bado yupo na wanafunzi tumekosa mikopo haya tunaondelea na masomo mwaka umeisha tunakula jalalani tukiwa na imani kuwa ipo siku na sisi serikali itatukumbuka chaajabu hakuna kinachoendelea wapiga kura wako tunaumia sana tunaomba utupe mkopo na uanze na huyo mkuu wa heslb kama ulivyo ahidi nawasilisha inauma sana maisha magumu sana
Ndugu upo na mimi kila nikikaa nawaza sana nipo mkoa wa watu na maisha magumu sana
Duh, poleni ndugu zangu! hii issue sijui itasovikaje lakini hali sio shwri kabisa. Leo nmekwenda heslb baada ya kukosa mkopo miaka mitatu yote; nikiwa nshitaji kujus mini sababu ya kukosa mkopo. Jibu sijapata zaidi, nimeambiwa nimuone katibu, ambaye hakuwepo oficn leo