Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12019861_848323861933032_7382706676116390116_n.jpg
[/h]
12027763_848324055266346_1288463737982467155_n.jpg


12063726_848324358599649_1341077963228418288_n.jpg


12032090_848324441932974_4294691154190865938_n.jpg


12049398_848324758599609_7202973697468452376_n.jpg


12063381_848325025266249_812359387137714071_n.jpg


Acha ubishi na kutokwa povu, wengi zaidi washaamua. Wanamuamina kwa sababu ya historia yake wake utumishi serikalini katika wizara mbalimbali ambapo kote alikopita anasifika kwa UCHAPAKAZI, UADILIFU, UFUATILIAJI,UTEKELEZAJI NA MWENYE MSIMAMO katika usimamizi na utekelezaji wa sheria. Huyu ndiye Dr. MAGUFULI bwanaaaaaa.......
Nakusihi tuungane na walio wengi kumpa kura nyingi za kishindo akatutumikie....

 
Kweli mmeishiwa dada zangu na tumeshawashika vibaya. Picha za morogoro mkutano mmeandaa wiki nzima mabasi ya abood yalisomba watu kutoka malinyi, ufakara, kilombero, kilosa leo ndio mnazirudia kujipoza kwa kuwa Hamna picha mpya zote mnadoda hali ni mbaya....
 
Huyu atakuwa Rais mbovu kuliko wote waliowahi kuongoza Taifa hili.
 
Kweli mmeishiwa dada zangu na tumeshawashika vibaya. Picha za morogoro mkutano mmeandaa wiki nzima mabasi ya abood yalisomba watu kutoka malinyi, ufakara, kilombero, kilosa leo ndio mnazirudia kujipoza kwa kuwa Hamna picha mpya zote mnadoda hali ni mbaya....


Dada Weka picha tuone mabasi wkisomba watu.
 
Hao wananchi wote sura zao zinaonyesha zina hasira mbaya sana ,kila unaejaribu kutafsiri sura yake ilivyotokeza utaona waziwazi anasubiri tarehe 25 aiadhibu CCM ,alipize kisasi cha kusulubiwa kwa muda wa miaka 54 !
 
Magufuli sifa anazo tatizo mfumo hawez kwenda kinyume na wakubwa wake ata siku moja
 
ila mwakahuu umevunja record kwa mafuriko ya kampeini za siasa tangu uhuru
 
Back
Top Bottom