kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,544
hellow Wananjamvi,
i have been watching the Magufuli administration--- and at some point seeing him akistep down kutoka kuwa mtoa maagizo hadi kuwa mfuatiliaji - meneja.
hii nadhani inamuumiza sana.. kwakuwa ni kweli nchi kila upande ni mufla bin hoi...
kiujumla sytems has been malfunctioning....ndio maana mambo yameharibika kila pahala..na hawezi kuwa kila sehemu kila mara...na hawezi kujua conspirancy zooote zinazopangwa na watu kwa wakati muafaka....pia administration inataka kuwaamini watendaji kuwa wanaweza kufanya kama wewe.....hata bila wewe kuwapo....ndio effectiveness inapatikana
mimi nina ushaui wabure hapa...pamoja na yooote anayoyafanya, anatakiwa kudeal na mzizi wa tatizo, sio matawi ya tatizo...utakata yataota tena...
tena hii nihatari zaidi kwadababa inaweza kumgarimu maisha...kwasa bababu hatu anazochukua ni temporarilry na yeye ni factor kuu----kwa wale wanaojua factor analysis.....hvyo kumfuta yeye ni rahisi ili kurudisha gurudumu nyuma....na njiaa pekee kwa kupambana naye...
anaweza kupata hata msongo hata stroke....jamboa ambalo litaiathiri sana nchi hii kwani kwa kuwa system iko pale pale ni rahisi kurudia mambo ya kale ambayo bado yananuka...
wewe mwenyewe ni shahidi..si bungeni, si wazee wote..sio waccm na wale wengine walioipiga vita katiba ya warioba ndio walikuwa wanafuga watumishi hewa na wakaripoti kuwaa hakuna watumishi hewa,,,,,,wewe utasimamia..vijana watapiga kazi kwa maelekezo ya sheria kuu ya nchi--- yaani katiba....
so umezungukwa naa nyoka kilaa pahala..hadi chini ya meza yako...hii unayoendelea nayo ina hatari ya kuwa the rat race na itakoma pale utapokuwa haupo kwenye afisi yako
MAGUFULI.....FANYA KAZI YAKO....YA KUTOA MAELEKEZO..wewe ni raisi wa nchi.....PAMBANA NA MZIZI .... ADOPT KATIBA YA WARIOBA.......NA WEWE UTAKUWA UNAONGOZA NCHI KWA KUTUMIA KIDOLE CHA MWISHO HUKU UNAKUNYWA JUISI YA UBUYU....HUKU UNAANGALIA 360 YA CLOUDS FM
akili yangu ndogo inanitume niseme hilo...nisameeeeni kwa uharo huu