Magufuli: Nitawapeleka wapinzani makumbusho

Magufuli: Nitawapeleka wapinzani makumbusho

Hiyo siyo dalili nzuri kama kweli kasema maneno hayo. He should learn to live and work closely with opposition parties which have made good contribution to this country in terms of public governance!!!. Alitakiwa kusema atafanya kazi kwa ukaribu na wapinzani ili kuleta maendeleo ya nchi hii!!

Huwezi kufanya kazi na wapinzani hata kidogo tusidanganyane mkuu. Tena kama hawa wa Tanzania ndio kabisa hawafai, ni kujirudisha nyuma tu. wapo tayari hata kubishia majina yao na kuandamana hawa.
 
Magufuli hawezi kuwa Rais bora na mzuri kwa ninavyojua mimi...Magufuli hana staha na weledi wa kuwa Rais..Anaropoka ropota sana
 
Baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM amesema mara baada ya kuapishwa Oktoba 2015 atahakikisha wapinzani wanapelekwa makumbusho ambapo tutakuwa tunawasoma kwenye historia ya nchi.

Magamba ni magamba tu…mimi nilidhani ufisadi,ujinga,umaskini,rushwa nk angehakikisha anavipeleka makumbusho!! yeye anafikiria kuwapeleka wapinzani makumbusho…upinzani ume play great role ktk kuirekebisha serikali hii…hajayaona hayo???
 
Magufuli ana maamuzi magumu ila tatizo litabaki kuwa kwenye system tu.

Hana maamuzi magumu tafuta ile clip ya mizani . Magufuri hana meno aisee anaishia kutisha watu tu.
 
Jamani hata huyu anaeondoka hadithi zake zilikuwa hivi hivi na hata atakae kuja badara ya mambo yale yale lkn ukweli wengi wetu hatujui nn tunahutaji
 
Hiyo siyo dalili nzuri kama kweli kasema maneno hayo. He should learn to live and work closely with opposition parties which have made good contribution to this country in terms of public governance!!!. Alitakiwa kusema atafanya kazi kwa ukaribu na wapinzani ili kuleta maendeleo ya nchi hii!!
1. Exactly ndugu, hayo ndo maneno alipaswa kusema, lakini Magufuli na tabia yake ya kukurupuka kama yule jamaa wa futuhi,anaweza kutuletea maafa kwa kuwaweka ndani viongozi wa upinzani.Hayo makumbusho aliyoyasema ni kizuizini- Magufuli hajali kama kuna sheria au misingi ya utawala yeye ni kufanya analowaza tu! Nchi hii tutavurugwa sana na huyo Magufuli atakapopenda kuonesha kwamba yeye ndiye rais wa awamu ya tano!
God, be around to help us then!
2.Ndio maana ninapenda kuwashauri ukawa wakazanie zaidi kupata wabunge wengi bungeni ili madudu yoyote ya rais ajaye yawe diffused there and then.Ukawa achaneni na biashara ya urais, it gonna be too costly this year.
 
Back
Top Bottom