Magufuli ni tumaini jipya la ujasiri!

Magufuli ni tumaini jipya la ujasiri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,537
Ni wanyonge wachache ktk kanisa anglikana dayosisi ya Dsm waliopambana kwa takribani miaka mitatu na hatimaye leo wamefanikiwa kumtumbua askofu mokiwa kwa tuhuma mbalimbali ukiwemo ufisadi.Mmojawao hapa magomeni amenieleza kuwa kasi ya Magufuli ktk kuwashughulikia mafisadi ndio "msingi" wa ushindi wao.Amesema ilifika mahala walimwambia askofu wa Jimbo ikiwa atashindwa kulishughulikia tatizo la mokiwa basi wao watalipeleka mahakamani na wanaamini ktk serikali ya Magufuli fisadi hana rangi,chama wala dini.Binafsi nimpongeze Rais kwani sasa hata mamlaka za dini na taasisi zake zinakiri serikali ipo.Hongereni pia waanglikana mliopambana tumeshuhudia "shoka moja" mbuyu chini!Kuweni wamoja sasa muijenge dayosisi yenu
 
Mambo ya KANISA humaliziwa KANISANI. Na inabaki siri ya kanisa.
Sasa wewe kutuletea kwenye mtandao wa JF UDHAIFU na MAPUNGUFU ya Askofu wenu mtumishi wa Mungu. Ni kukosa HEKIMA na na HESHIMA na wala huyajui maandiko yanavyosema.
Hilo si jambo la kushabikia!
 
Watetea mafisadi chadema watakuja kutokwa povu fisadi mwenzao katumbuliwa.
 
waficha na waleaji wa wahujumu uchumi ccm ndio kazi zenu kujifanya mnamtetea
 
Sifa na utukufu ni kwa Mungu kwa kutuletea Mh. Magufuli.
 
Haaaah kutumbua mafisadi gani zaidi ya kula Rambi Rambi
 
Back
Top Bottom