Kwa ubora:
1. Nyerere
2. Magufuli
3. Mkapa
4. Kikwete
5. Mwinyi
Tumsapoti rais wetu nchi isonge mbele. Magufuli kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu. Lakini uwezo wake mkubwa katika kujenga maadili ya utumishi wa umma na kudhibiti ufisadi unafanya awe kiongozi bora na anayetumainiwa na wanyonge na watanzania wenye kipato cha chini.
Ingawa sikumchagua Magufuli katika uchaguzi mkuu kwa sababu ya kupigiwa kampeni na marais wastaafu walioruhusu na kufumbia macho wanyonyaji, wahujumu uchumi na mafisadi( niliamini kwamba huyu naye angefuata misingi ile ile), lakini kwa kweli Mungu anisamehe kwa kufanya kosa la kutomchagua. Mungu mbariki Rais wetu, Mungu ibariki Tanzania...