Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania
Mzalendo wa kweli hawezi kujaza watu wa kanda ya ziwa katika teuzi na kupendelea watu dini yake kwenye uongozi.Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania
Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania
ID yako inaonyesha dhahiri kuwa unatafuta ulaji hapo baadae....hivi ni lini tutakuwa wazalendo...yakwamba leo hii mahakama ya mafisadi tujengewe mimi na wewe pamoja na THE SUPER POWER NGOYAI alafu kijamaa kidikteta uchwara kiwalinde hao akina Sim Tank na Jamaa wa tezi dume eti wasifungwe akati hapo hapo hicho kidikteta uchwara kinamlamikia tena huyo jamaa wa tezi dume kuwa kamuachia Shida nyingi nchini....hivi una UBONGO kweli????Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania
Achana na mambo ya ukabila, ukanda na udini hayakusaidiiMzalendo wa kweli hawezi kujaza watu wa kanda ya ziwa katika teuzi na kupendelea watu dini yake kwenye uongozi.
Mzalendo wa kweli hawezi kujaza watu wa kanda ya ziwa katika teuzi na kupendelea watu dini yake kwenye uongozi.
Achana na mambo ya ukabila, ukanda na udini hayakusaidii
Huko unakokuita Kanda ya Ziwa bado ni Tanzania hivyo hata kama haya unayoyasema yana ukweli basi siyo jambo baya kwa maana kama Kanda ya Ziwa kukiendela ina maana Tanzania imeendela na watu Kigoma, Mbeya, Lushoto, Tunduru watakwenda Kanda ya Ziwa kufanya kazi na kuishi hivyo hamna tatizo kwa maana hata hivyo leo hii inabidi waombe viza kwenye Ulaya na USA!
Asa kama hawana sifa....Mzalendo wa kweli hawezi kujaza watu wa kanda ya ziwa katika teuzi na kupendelea watu dini yake kwenye uongozi.
Huko unakokuita Kanda ya Ziwa bado ni Tanzania hivyo hata kama haya unayoyasema yana ukweli basi siyo jambo baya kwa maana kama Kanda ya Ziwa kukiendela ina maana Tanzania imeendela na watu Kigoma, Mbeya, Lushoto, Tunduru watakwenda Kanda ya Ziwa kufanya kazi na kuishi hivyo hamna tatizo kwa maana hata hivyo leo hii inabidi waombe viza kwenye Ulaya na USA!
Kabla hujatoa comment na taarifa ingekuwa vyema ukamsikiliza Tundu Lissu alimaanisha nini,alipinga kivipi,kumkosoa TUNDU lissu inabidi uwe na weledi pia uelewa mzuri la sivyo utatwanga maji kwenye chungu,yule jamaa huwa hakurupuki kivile,tuwe tunatafakari kwanza kabla ya ku criticize.Mkuu rais Magufuli Hongera sana kwa uamuzi wa kuzuia mchanga wetu kutoroshwa na kuchujwa nje ya nchi. Wakati nchi ikipoteza fedha nyingi. Ni vema tutafute mkopo nafuu tuwekeze hapa Nyumbani Tupate fedha na ajira kwa watu wetu.
Tumemsikia Tundu Lisu akipinga jana kupitia sauti ya ujrumani kiswahili. Watanzania tumekuja jua wabaya wetu kimaendeleo.
Piga kazi baba mungu akubariki sana. Uwekezaji huu ni sehemu ya Uwekezaji wa viwanda Tanzania unaopigania
Mkuu, mimi nahisi pengine, anakandamiza demokrasia kwa dhamira njema kwasababu anajua upo uwezekano mkubwa ikiwa atasikiliza wata.kwamisha mipango yake kwa kumuonyesha uozo wa nyuma wa ccm. Na yeye pengine anajua hiyo ni stumbling block ya kwenda mbele. So anaamua kusonga mbele bila kutaka kusikiliza kelele za watu.Kwa mambo ya namna hii namuunga mkono mh. Raisi ninachompinga ni kukandamiza demokrasia
Mzalendo wa kweli hawezi kujaza watu wa kanda ya ziwa katika teuzi na kupendelea watu dini yake kwenye uongozi.
Mburula ni yule ambaye anatetea teuzi za watu kwa misingi udini na ukabilaWe mburula kweli. Hadi karne hii bado unafikiria dini badala ya maendeleo?