Blackafrica
Senior Member
- Jun 26, 2021
- 140
- 401
Hata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magu amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia watakavyo kumsema vibaya watakavyo hata mazuri aliyofanya hayaonekani bali ni kumkebei kumtukana na kumsema vibaya
Nina Hakika hata angekuwa hai leo, wasingekosekana wa kumsema na kumshtumu vibaya, tofauti ya sasa ambapo huyu mtu hatupo naye kimwili tena ni kwamba hata wale watetezi wako waliokuwa Wanamkubali wamegawanyika wengine wamekaa kimya hawamtetei wala kuwa upande wake, wengine Wanahuzunika na hawaamini kama kweli jembe hayupo na mambo mengi wakitizama hayaendi au yamekwama, lkn hawana sauti ya kupaza labda ni uoga au maslahi wanayokuwa nayo katika ukimya wao, binadamu ni wanafiki sana naamini angekuwepo Magu hai, angepata watetezi wengi sana tena watetezi wa hoja zenye nguvu.
Lakini tukubaliane kuwa watanzania wengi wamekata tamaa haswa watanzania wale wa kipato cha kati na cha chini, ukipita kila mkoa utakutana na maneno angekuwepo Magu huu mradi ungeisha au hii Barabara ingekuwa imejengwa tayari au hii hospital ingekuwa imefunguliwa tayari au tungekuwa tumepiga maendeleo makubwa sana, kwahyo tusizibeze hizi sauti zinazolalamika chini chini na hakika hizi sauti zikifika mahari zikaamua ziseme sauti ya juu ili zisikike, ndio utakuwa mwisho wa watawala kutudanganya, uwongo una mwisho wake uwongo una ukomo wake.
Tusimbeze sana Magu bali tuendeleze mazuri yake aliyoacha, mkiendelea kumbeza, mfahamu kuwa watetezi wake wapo tele na siku wakiamua kutetea haki zao na nchi yao mtatafuta mlango was kutokea.
Mwamba huwa unajikuta mtu smart Sana na kuhisi mawazo yako ni kila kitu!Kuna wajinga wajinga wengi huko mtaani ambao aliwahadaa na yale mauongo yake ndio watetezi wake.
Hapa JF kwa Great Thinkers hana watetezi wengi sana sababu wengi wanajua kuchambua pumba na mchele
Kama kusemwa angekuwa anasemwa huko aliko hoja yako ingekuwa na mashiko, ila anasemwa hapa Tanzania na yeye hayupo basi wenye kumtetea wamtetee.Sasa mtu alivetangulia mbele ya haki unamtetea kwa maslahi ya nani mkuu ,
Sasa hivi anajitetea mwenyewe huko aliko, Chamasingi marehemu hua hasemwi vibaya , hata Kama kuna mabaya alifanya cha msingi ni kuendelea kumuombea , ili muumba ampunguzie adhabu tu kwa mabaya aliyofanya .
Simo kwenye hiyo list ila huyo mzee sitaki hata kumsikiaWanaomchukia magufuli [emoji116]
-waliotumbuliwa vyeti fake
-wafanyakazi hewa
-wafanyabiashara wakwepa kulipa kodi
-viongozi waliokuwa madarakani wakatumbuliwa
-wezi waliokuwa wakijinufaisha na uongozi wa awamu zilizopita
-Matajiri waliokuwa wakijinufaisha na nchi bila taratibu
-mabeberu wapenda dezo za taifa
-wezi waliotaka jpm nae aungane nao ili waibe wote
Wale ndugu zao waliouwawa maiti zao hazikupatikana teenaWanaomchukia magufuli [emoji116]
-waliotumbuliwa vyeti fake
-wafanyakazi hewa
-wafanyabiashara wakwepa kulipa kodi
-viongozi waliokuwa madarakani wakatumbuliwa
-wezi waliokuwa wakijinufaisha na uongozi wa awamu zilizopita
-Matajiri waliokuwa wakijinufaisha na nchi bila taratibu
-mabeberu wapenda dezo za taifa
-wezi waliotaka jpm nae aungane nao ili waibe wote
Acheni kukuza hakuna utawala nchi hii ambao haujaumiza watu, punguzeni kujiliza.Tafadhali msitukumbushe tuliyoyapitia ni magumu sana kwenye utawala ule.
Wanaomchukia magufuli [emoji116]
-waliotumbuliwa vyeti fake
-wafanyakazi hewa
-wafanyabiashara wakwepa kulipa kodi
-viongozi waliokuwa madarakani wakatumbuliwa
-wezi waliokuwa wakijinufaisha na uongozi wa awamu zilizopita
-Matajiri waliokuwa wakijinufaisha na nchi bila taratibu
-mabeberu wapenda dezo za taifa
-wezi waliotaka jpm nae aungane nao ili waibe wote
Haya mtetee basi, maana hakuna aliyekatazwa kumteteaKama kusemwa angekuwa anasemwa huko aliko hoja yako ingekuwa na mashiko, ila anasemwa hapa Tanzania nayeye hayupo basi wenye kumtetea wamtetee
Tutajie mtawala aliyefikia hadi hatua ya kujifananisha na Malaika.Acheni kukuza hakuna utawala nchi hii ambao haujaumiza watu, punguzeni kujiliza.
Watetezi wake walikuwa kwenye payroll yake... Payroll yake kazikwa nayo una lingine?Hata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magu amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia watakavyo kumsema vibaya watakavyo hata mazuri aliyofanya hayaonekani bali ni kumkebei kumtukana na kumsema vibaya