Hahahahaaaaa bushaaaaaa aka mshipaMwenye busha na kifafa aliweza ye atashindwaje?

Mwenge ni alama ya mwanga
Mabibi na Mabwana,
Shuhuli ya Bwana John Magufuli inaelekea kama ishaanza vile, maana leo katika pita pita zangu mitandaoni nimetembelea page za mastaa wetu kadhaa wa bongo wakiwa wametupia logo ya Magufuli katika harakati za kampeni za #uchaguzi2015 .
Na mimi nimeamua kuitupia logo hii kwenye page yangu ili wana jamii muione na tuweze kuijadili. Binafsi nimeiona ipo simpo na inavutia kwelikweli. Bila shaka inamuakisi mgombea mwenyewe kwakuwa Bwana John Magufuli ni mtu simpo, no makuu na ni mpiga kazi kweli kweli... ndio mana logo pia imeandikwa #hapakazitu

mabibi na mabwana,
shuhuli ya bwana john magufuli inaelekea kama ishaanza vile, maana leo katika pita pita zangu mitandaoni nimetembelea page za mastaa wetu kadhaa wa bongo wakiwa wametupia logo ya magufuli katika harakati za kampeni za #uchaguzi2015 .
Na mimi nimeamua kuitupia logo hii kwenye page yangu ili wana jamii muione na tuweze kuijadili. Binafsi nimeiona ipo simpo na inavutia kwelikweli. Bila shaka inamuakisi mgombea mwenyewe kwakuwa bwana john magufuli ni mtu simpo, no makuu na ni mpiga kazi kweli kweli... Ndio mana logo pia imeandikwa #hapakazitu