Magufuli ndio habari ya mjini


Shida ni kwamba wengi wa hao wanao jiita mastaa hawajitambui hata kidogo. Mifano tunayo mingi tu.
Wengi wanatafuta umaarufu kupitia majina ya watu. Aibu zao.
 
Tatizo yupo kwenye gari bovu lililosimama a abiria wengi waliomo wanaogopa kupanda gari linguine kwa sababu wana mizigo yao halam humo so wanailinda.lol!
 
Hbari y mjini kwa wizi Wa Kura kupitia tume ya uchaguzi na wanajeshi
 
Mastaa wa Bongo? wale weneye kashfa zote mbaya za dunia hii? Hahhahaaaa nilidhani umeikuta hio logo kijijini kumbe kwenye page za "mastaa wa bongo"?? wasiojiamini, wanaonunuliwa kwa ahadi za kipuuzi? kama ni hivyo basi sawa, kweli Mgufuli ni habari ya Mijini lakini UKAWA ni habari ya mijini na Vijijini
 
Magufuri hana brand..!
 
Shida yao kubwa ni kwamba watatumia nguvu, pesa na muda yao mwingi kufanya kazi isiyo na mafanikio magufuri bei yake ndogo umkimlinganisha na lowasa brand ya ccm ni analog compared to ukawa New Brand..
hawa hakuna haja ya kuwapa airtime ni kuwapuuzia tu
 

Wangeweka ile logo ya kufuli na funguo.ndio imekaa fresh.
 
Freedom is coming tomorrow tumechoka wakoloni weusi ccm hatuwataki tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…