Mabibi na Mabwana,
Shuhuli ya Bwana John Magufuli inaelekea kama ishaanza vile, maana leo katika pita pita zangu mitandaoni nimetembelea page za mastaa wetu kadhaa wa bongo wakiwa wametupia logo ya Magufuli katika harakati za kampeni za #uchaguzi2015 .
Na mimi nimeamua kuitupia logo hii kwenye page yangu ili wana jamii muione na tuweze kuijadili. Binafsi nimeiona ipo simpo na inavutia kwelikweli. Bila shaka inamuakisi mgombea mwenyewe kwakuwa Bwana John Magufuli ni mtu simpo, no makuu na ni mpiga kazi kweli kweli... ndio mana logo pia imeandikwa #hapakazitu
aisee basi tukutane october 25
Magufuri hana brand..!Mabibi na Mabwana,
Shuhuli ya Bwana John Magufuli inaelekea kama ishaanza vile, maana leo katika pita pita zangu mitandaoni nimetembelea page za mastaa wetu kadhaa wa bongo wakiwa wametupia logo ya Magufuli katika harakati za kampeni za #uchaguzi2015 .
Na mimi nimeamua kuitupia logo hii kwenye page yangu ili wana jamii muione na tuweze kuijadili. Binafsi nimeiona ipo simpo na inavutia kwelikweli. Bila shaka inamuakisi mgombea mwenyewe kwakuwa Bwana John Magufuli ni mtu simpo, no makuu na ni mpiga kazi kweli kweli... ndio mana logo pia imeandikwa #hapakazitu
hawa hakuna haja ya kuwapa airtime ni kuwapuuzia tuShida yao kubwa ni kwamba watatumia nguvu, pesa na muda yao mwingi kufanya kazi isiyo na mafanikio magufuri bei yake ndogo umkimlinganisha na lowasa brand ya ccm ni analog compared to ukawa New Brand..
Mabibi na Mabwana,
Shuhuli ya Bwana John Magufuli inaelekea kama ishaanza vile, maana leo katika pita pita zangu mitandaoni nimetembelea page za mastaa wetu kadhaa wa bongo wakiwa wametupia logo ya Magufuli katika harakati za kampeni za #uchaguzi2015 .
Na mimi nimeamua kuitupia logo hii kwenye page yangu ili wana jamii muione na tuweze kuijadili. Binafsi nimeiona ipo simpo na inavutia kwelikweli. Bila shaka inamuakisi mgombea mwenyewe kwakuwa Bwana John Magufuli ni mtu simpo, no makuu na ni mpiga kazi kweli kweli... ndio mana logo pia imeandikwa #hapakazitu
Mwenge ni alama ya mwangaHuo Mwenge wa Uhuru ndio Tambiko lenu??? Lishindwe na lilegee kabisa!!
Kumbe nyie mnataka kurudisha uoloni wa watu weupe siyo, haiwezekani.Freedom is coming tomorrow tumechoka wakoloni weusi ccm hatuwataki tena
hapa maendeleo tu, kutetemeka na matumaini Angaza
Mwenge ni alama ya mwanga[/QU NA MWANGA NI MCHAWI