Kama huko ccm hakuna demokrasia unadhani baada ya kuwekwa madarakani watajali maslahi ya wananchi? tutaonekana sisimizi.Kimsingi simkubali lowasa hata kidogo hata wale wanaomfuata wengi wao ni kutoka ukanda wao,lowasa hana vision pia hana mission kwa taifa letu kinachombeba ni umaarufu wa pesa,na vijana wengi kukosa imani na ccm,kiukweli jamaa hana uwezo wowote kiongozi,laiti slaa angekuwepo angelamba kura yangu kwa kosa walilofanya chdm kumweka fisadi lowas inadhihirisha kuwa wao lengo ni kuchukua dola lakin hawana misingi yoyote ya kimaadili,sasa uwadilifu wao waliokua wanasema upo wapi tuendelee kuiamini chadm?rudi nyuma kijana mwenzangu chagua magufuli uwezo anao akiboronga tumdilete miaka 5,
Sina chama, ila team mabadiliko, bahati nzuri mungu ameleta ukawa, kiboko chenu. Mwaka huu mtatukana sana ila mabadiliko lazima.Demokrasia ya nini,yakutomkubali lowasa ndo unasema demokrasia,funguka ndugu yangu wengi wanaoama ni wale waliokosa nafasi ya kutawala,kwa akili yako wew unaona ndani ya chdm ndo kuna hiyo demokrasia,upuuzi mkubwa,nimewachukia chadm
Kimsingi simkubali lowasa hata kidogo hata wale wanaomfuata wengi wao ni kutoka ukanda wao,lowasa hana vision pia hana mission kwa taifa letu kinachombeba ni umaarufu wa pesa,na vijana wengi kukosa imani na ccm,kiukweli jamaa hana uwezo wowote kiongozi,laiti slaa angekuwepo angelamba kura yangu kwa kosa walilofanya chdm kumweka fisadi lowas inadhihirisha kuwa wao lengo ni kuchukua dola lakin hawana misingi yoyote ya kimaadili,sasa uwadilifu wao waliokua wanasema upo wapi tuendelee kuiamini chadm?rudi nyuma kijana mwenzangu chagua magufuli uwezo anao akiboronga tumdilete miaka 5,
Kwa hiyo hujui lengo kuu la chama cha siasa?Kimsingi simkubali lowasa hata kidogo hata wale wanaomfuata wengi wao ni kutoka ukanda wao,lowasa hana vision pia hana mission kwa taifa letu kinachombeba ni umaarufu wa pesa,na vijana wengi kukosa imani na ccm,kiukweli jamaa hana uwezo wowote kiongozi,laiti slaa angekuwepo angelamba kura yangu kwa kosa walilofanya chdm kumweka fisadi lowas inadhihirisha kuwa wao lengo ni kuchukua dola lakin hawana misingi yoyote ya kimaadili,sasa uwadilifu wao waliokua wanasema upo wapi tuendelee kuiamini chadm?rudi nyuma kijana mwenzangu chagua magufuli uwezo anao akiboronga tumdilete miaka 5,
Tunaambiwa uchumi umekua na pato la taifa limeongezeka, na nchi ina utajiri mwingi. lakini mtanzania wa kawaida haoni mabadiliko chanya katika maisha yake. Hilo ongezeko la pato la taifa linaenda wapi kama si kwa viongozi waliopo?Hata mimi sina itikadi ya chama,ila naangalia mtu anaeweza kutuvusha,sasa unataka mabadiliko yapi ndugu,vichwa vilevile,kutoka ccm mawazo yaleyale,ukosefu wa uwadilifu uleule ndugu,usiwe mfia chama, ama shabiki tu, angalia uwezo wa mtu,angekua slaa kweli ningesema mabadiliko kwani jamaa ni mwadilifu pia ni mpambanaji,sasa kichwa maji lowasa ataleta mabadiliko yapi,fikil mara mbili kijana mwenzangu.
Hata mimi sina itikadi ya chama,ila naangalia mtu anaeweza kutuvusha,sasa unataka mabadiliko yapi ndugu,vichwa vilevile,kutoka ccm mawazo yaleyale,ukosefu wa uwadilifu uleule ndugu,usiwe mfia chama, ama shabiki tu, angalia uwezo wa mtu,angekua slaa kweli ningesema mabadiliko kwani jamaa ni mwadilifu pia ni mpambanaji,sasa kichwa maji lowasa ataleta mabadiliko yapi,fikil mara mbili kijana mwenzangu.
Hakika yote aliyoyasema na kurudia kuwa atayasimamia kwa Magufuli ni Hakika na ukweli kwani Watanzania wanahitaji hayo na sio porojo leo wasema niki na kuaminisha Umma kesho wafanya tofauti yake tumeyaona
Baba yako akiwa mgonjwa ndo humueshimu tena? Ccm ni yaka na ukoo wako. Enough ts enough.