Injinia alikua anatest Ngazi ka ziko sawasawa... Washauri wake hawaoni haja ya kumuandaa... Kwa upinzani upi!? Watafanya vilevile ka miaka iliyopita
Magufuli ni msanii tu na hana kazi za kufanya wala haonyeshi kuwa anaumizwa na jambo lolote linalomsukuma kuutaka urais. Yani ni mtu anayechululia urais kama post tu yoyote katika baraza la Mawaziri.
Hajajiandaa. Hajaandaliwa!!!
Mtu makini atapandaje ngazi wakati kuna lift .. Yan ili iweje?
Magufuli ni comedy tu. Kama ni mazoezi wenzake wana tread mills nyumbani yeye anaparamia mingazi na kunuka kwapa. Kupoteza muda kijinga na urugaruga tu!!
Sio presidential material kabisa!!

Comedy ni sehemu ya campaign machinery ndio maana CCM imeakodi hadi Ze Comedy, lengo la mtu kupanda ngazi badala ya kutumia lift ni kuonyesha tuu bodly strength!, ila miongoni ma sifa za rais sio bodly streghth kwa sababu hatutafuti rais mbeba chuma!.Magufuli ni msanii tu na hana kazi za kufanya wala haonyeshi kuwa anaumizwa na jambo lolote linalomsukuma kuutaka urais. Yani ni mtu anayechululia urais kama post tu yoyote katika baraza la Mawaziri.
Hajajiandaa. Hajaandaliwa!!!
Mtu makini atapandaje ngazi wakati kuna lift .. Yan ili iweje?
Magufuli ni comedy tu. Kama ni mazoezi wenzake wana tread mills nyumbani yeye anaparamia mingazi na kunuka kwapa. Kupoteza muda kijinga na urugaruga tu!!
Sio presidential material kabisa!!
Magufuli ni injinia?Injinia alikua anatest Ngazi ka ziko sawasawa... Washauri wake hawaoni haja ya kumuandaa... Kwa upinzani upi!? Watafanya vilevile ka miaka iliyopita