Kuna watu mna akili za kushikiwa balaa, hiyo ni chuki tu kwasababu maghufuli ni ccm, hakuna mgombea anaeuzuiwa kutumia wimbo wa taifa na kutumia bendera ya taifa, hata Mh Rungwe au nani sijui yule wa nccr mageuzi wote wakitaka watu waimbe wimbo wa taifa kabla hawajaanza kuhutubia, wanaruhusiwa pia, kwani wagombea wote ni watanzania. Acheni ushabiki usiokuwa na faida kwa future ya taifa letu