Unaota ee!Baada ya Jeshi kusomba korosho huko Mtwara na Lindi.. baada ya Serikali kuinunua kwa Bei ya juu.. kwa Mara nyingine tena Reuters wanaripoti kwamba thamani ya korosho isiyobanguliwa Nchini Marekani imepaa kutoka $3.2 ndani ya siku 7 na sasa ni $3.9 mpaka $4.1.
Magufuli mpaka Mwaka 2035View attachment 942415
Kisa korosho2 na sio mambo mengine....acheni upuuzi huoNadhan afikie Hata 2045 Kama atakuwa Hai
Nchi Hii inahitaji kuendeshwa Magufuli style nginja nginja
½ thinking capacityMajizi chadema watanyooka tu
kabisa yan, maana chadema ndio wanaisoma namba balaaa[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]Majizi chadema watanyooka tu