TeamCCM-2015
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 112
- 44
1. Ujinga - elimu (huduma mbovu na maslahi duni).
2. Maradhi - huduma za afya mbovu na maslahi duni.
3. Umaskini - ajira (kuanzisha, kuendeleza na kusimamia kilimo bora Chenye tija na masoko, kujenga na kuimarisha viwanda na biashara).
4. Ufisadi.
Tuambie ktk ilani ya ccm utafanya nini kumkomboa tanzania Leo?