TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nimesoma Kwenye Gazeti, Magufuli akiwa Arusha anararua ati Mafisadi wakimshinda asiitwe Tena Rais.
Kwa Mara ya Mwisho, Niliona Wachache waliokamatwa kwa Ufisadi Ni akina Masamaki wa TRA na Wengine wadogo wadogo.
1)Chenge aliyetolewa agizo na Kamati ya Bunge awajibishwe sasa Ni Mwenyekiti wa Bunge Lenyewe:- Magufuli Mafisadi wameshakushinda!
2)Sospeter Muhongo, aliyetolewa na Kamati ya Bunge awajibishwe sasa Ni waziri wa Wizara ileile ya Madini na Nishati, na Umemchagua wewe :-Magufuli Mafisadi wameshakushinda
3)Eliakimu Maswi aliyekuwa Katibu wa Wizara ya Madini, ambaye pia alitolewa agizo na bunge awajibishwe, wewe Umemteua Kuwa Katibu tawala wa Mkoa :- Magufuli Mafisadi wamekushinda
4) Waliohusika na Kashfa ya Stanbic, Umewaacha :- Magufuli Mafisadi wamekushinda
5) Waliohusika Kuchukua Viroba na Rumbesa za Escrow Unakula nao Kila Siku:- Magufuli Mafisadi wamekushinda
6) Kikwete aliyeacha Ugoro Kila Mahali, Ukwepaji wa Kodi, Ufujaji wa fedha za serikali kwa safari za wizi wizi yeye akiwa Kinara, Unamsifia Kila siku:- Magufuli Mafisadi wamekushinda
7) Utapeli wa Viongozi wakuu Kwenye Mikataba ya Gesi na Madini, ambayo hutakaa uiweke wazi na naapa hutakaa kwa Kuwa najua Uozo na wizi Unaotisha uliomo :- Magufuli Mafisadi wameshakushinda.
Niende Mbali zaidi Na Kusema si tu Kuwa Wamekushinda Bali wewe Unawafanyia kazi, Na unajifanya Kudanganya watanzania kwa Kupigia Kelele Huduma za Jamii Pekee. Kama Huwafanyii Kazi Mafisadi.
Waeleze Watanzania Ni Nani alikushinikiza Umrudishe Sospeter Muhungo wizara ya Madini. Na Kama Hukushinikizwa, Ni kwanini Ulimteua huku Ukijua Bunge lilimkuta na hatia? AU WEWE HUNA HESHIMA NA MAAZIMIO YA BUNGE?