Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Not necessary mkuu, Lowasa is a fisadi carved in stone-habadiliki!!Mwisho wa siku Magufuli atajikuta anawaambia wananchi "Lowasa Mabadilikoo"
Magufuli amekuwa anatohoa maneno ya cdm kama hapo amesema M4C maana yake ni Magufuli 4 Change, na ile ya People's power wampe power akashughulikie mafisadi! Hahaha. Wenye hatimiliki ya M4C wanakubaliana na Magufuli?
Akalale mbele huko anaiba hadi seraaa... tulimuambia atoroke aje huku akakataaa sasa kaishiwa hadi vibwagizo...aibuuuuu anatukopa huku
Simbilisi wewe!
Joni kidevu simuelewi amekimbizwa hadi ameanza kuiga vya wenzie ameanza kujitoa ufahamu au fuse imeshaungua tayari
Mgombea Urais kwa ticket ya CCM, leo akihutubia ktk mkutano huko Kigoma, amewaambia maana ya M4C ni Magufuli 4 Change.. Magamba mnalo mwaka huu..