Amekula matapishi yake mapema hivi????? MAGUFULI AKATAA KUTUMIA HELIKOPTA -Uhuru
Hii nchi kubwa huwezi kuimaliza kwa hari,nimemuona ITV amechoooooka na ndio safari imeanza,lowasa bado ana nguvu Moderator huu Uzi wa ccm kukodi chopa ulianza asubuhi,sijui ulipotelea wapi
MKUU UNENICHEKESHA ANADHANI KUSOMA KM,ndo kuwaza kuzipita kwa gari,huwa anaona raha kuzitamka
Mgombea asiye simamia kauli zake ni mlaghai, tusimpe kura.
MKUU UNENICHEKESHA ANADHANI KUSOMA KM,ndo kuwaza kuzipita kwa gari,huwa anaona raha kuzitamka