Magufuli kujenga fly over Mwanza

Magufuli ni mwanetu Mwanza na tunamuamini. Hata bila ya Kampeni wala ahadi tutampa kura. Huyo goigoi wenu watu wanafuata hela zao alizokwapua na hakuna kingine. Subirini jumamosi ndo mtapata jibu kamili. Mwanza usidhani wote ni wanywa viroba. Asilimia tisini na tisa point tisa tisa tunajitambua
 
Hatuhitaji askari wa kukodi kutoka Meru kuja kutuletea maendeleo kanda ya ziwa. Magufuri atosha.
 
60% ya walio enda furahisha walibebwa naihama ccm
 
Barabara ya mwendo kasi huku imechukua miaka , sasa hiyo flyover :hurt::hurt::hurt::hurt:
 

haa haa kwa hiyo mnampa maghufuli kwa vile ni mwanenu? je sisi tusio na mwanetu tufanyeje? kwa hilo tu sisi tusio na mwana hatutampa makufuli kamwe...
 

Mlirudishwa nyumbani salama?
 
Sidhani kama alisema flyovers, balialivhosema ni kujenga daraja kuunganisha Busisi na Sengerema. Nia ya ahadi hii ni kuipiku iliyotolewa na ya mgombea wa Ukawa aliyeahidi vivuko bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…