Waliomsikiliza Jana wamechoka
Maana walisafirishwa kama michembe na udaga
Ahadi zake hazieleweki na ni za kukurupuka, kwa staili hii anaweza hata kuahidi kuwajengea watu mlima Kilimanjaro mpya au bahari ya hindi.
simshangai kama ameweka traffic lights chato hata hilo linawezekana kabisa
Jana akiwa Mwanza viwanja vya Furahisha ameaihidi kujenga flying over.
Mimi najiuliza wana Mwanza kweli mnakubali na ahadi hizi?
Ki ukweli leo Dar es salaam hakuna cha fly over ndio kwanza juzi wamewekasaini ili kupata kura za dar zaidi ya miaka kumi toka Mkapa alipotoa matamshi then akaja JK nae alizungumzisa dar kujenga flyingover.
Msidanganyike wana Mwanza awa watu wana ahadi za kusadikika sana kama mtu umesoma kitabu cha kusadikika ndio ahadi za Magufuli.
Hahaha sasa fly over sehemu ambayo haina foleni,
Umesahau daraja toka Kigongo hadi Busisi
Nayo ipo ndani ya zile 63 trillions?