Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Nimemsikiliza tangu ameanza kutaja vitu anavyochukia hajawahi kutaja mauji ya raia yanayofanywa na polisi!
Pale jangwa alipoongelea polisi alisema atawapa vifaa vya kisasa kwani "haikubaliki polisi kuuawa kirahisi tu na silaha kuchukuliwa". Baada ya hapo nilitarajia angegusia kuboresha mafunzo ya polisi kukabialiana na wananchi wasio na silaha bila kusababisha mauaji kwa raia
1. Mamia ya wananchi waliuawa na askari Pemba mwaka 2001
2. Wananchi watatu waliuawa na polisi Arusha mwaka 2011
3. Wanachi kadhaa waliuawa Songea walipoandamana
4. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi akifanya kazi yake ya uandishi
5. Mwananchi mmoja aliuawa Morogoro mwaka 20112012
Orodha wa watu wasio na silaha waliouwa kwa silaha na polisi ni ndefu. Pengine Magufuli amesahau na kuna siku atasema ni kwa vipi atashughulikia hilo tatizo