Magufuli katika selfie huko bondeni

Yaani jiwe ni bonge la kilaza asiye jiamini na hasa zinapikuja issue za kimataifa, yaani imebidi ambebe mkwere kama β€˜assistant’ ili mambo yasi mwendee kombo? daa yaani kazi kweli kweli
Nimeona amefanya vema sanaa. JK ana exposure ya kimataifa.
 
Mammaeee!nan kamuona museven!?πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nimeona amefanya vema sanaa. JK ana exposure ya kimataifa.
Jk aliipata wapi hiyo exposure na jiwe anaikosaje au ataipata lini? wakati anaingia madarakani aliambiwa mkwere ampe hand over na β€˜induction’ ya namna ya kuendesha mambo as per procedures lakini kwa u β€˜too much know β€˜ wake akakataa wakati jambo hili hata marekani huwa yafanyika, sasa yanamkuta!
 
Hivi nani mwenye taarifa ya mchimbaji mdogo wa madini aliepata almasi kubwa huko kishapu shinyanga
 
Kwanini mkuu
Kuna wazulu wanafanya kazi za ajabu alafu limtu kutoka sijui Malawi linafaidi nchi yake daah! Ndio maana wanakuwa na roho mbaya wanauwa wanaokuja kusaka maisha nchini mwao.

Sijui ni utahira wa wazulu sijui ndio ubishololo sielewi nchi nzuri kama ile unaishi maisha ya ajabu 😧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…