Magufuli kaja na nyota ya umasikini, biashara haziendi

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,061
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
 
acha tu, yaani umasikini umeongezeka kwa kiwango cha kutisha..wananchi wengi wamekata tamaa ya maisha
 
hela inakuwa nyingi mifukoni kutoka kwa wakwapuaji. hahutumia mwa wingi bila kujali na kufa hela iwe nyingi kwenye mzunguko huku uzalishaji ni mdogo. sasa Magufuli ameziba matobo. kila atu azalishe kihalali apate pesa kihalali.
 
Na bado sasa wallah hali ikiendelea hii wannachi watamchukia trust me na wafanya biashara watatikisa serikali he has to watch out sana tu lzma ajipange vzr jpm
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
Watu walikuwa wanaishi kwa hela ya wizi.
Serikali ilikuwa haipati kodi na wizi wa wafanyakazi wa umma ndo ulikithiri.
Jichunguze na uchunguze wateja wako walikuwa kina nani na utapata jibu.
 
Magufuli na maprofesa na madokta na mainjia wake wameanza vibaya. Ameanza kunywea vibaya. Na bado aliowatimua bila kujitetea watamgharimu vibaya
 
Dili feki zimeisha bandarini na TRA ndiyo maana unaona biashara haiendi! Hapakazitu na mtaisoma namba!
 
Nchi hii itanyooka tu, watu walikuwa kana kwamba wana viwanda vya kuchapisha noti wakati hawalipi kodi. Subiri sasa bidhaa zinalipiwa kodi uone zitauzwa kiasi gani. Angalau sasa kutakuwa na heshima, utambe na pesa ambazo ni halali na umelipa kodi kihalali mambo ya mishen mishen hakuna tena. Na wale wageni ambao walikuwa wanaziba nafasi za wazawa watakiona cha mtema kuni. Tanzania sio shamba la bibi sasa. Utaheshimika kwa kulipa kodi na kufanya kazi kihalali.
 
Ibilis unapoona wakubwa wanatumbuliwA majipu (lugha nisiyoipenda) hili la ugum wa biashara hauepukiki kwani wakubwa wamepunguza matumizi kama ujenzi,kuhudumia vimada,kufanya shopping kubwa kubwa kwani hawajui hatma zao. Hili laweza kupunguza mzunguko wa pesa
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.

biashara gani mkuu
 
Mlizoea kupiga dili na kwenda nje ya nchi wakati mmeweka kibindoni kwa uchache mil 50 za ada sasa mambo yamewakalia kooni mnaita gundu. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
bado sana mwaka wake ni 2016 huko nyuma ilikuwa ni kutumbua majipu , kazi inaanza Jan 5, bomoa bomoa, tarehe 10 jan mabsi mwendo kinyonga yanaanza, tarehe 15 walimu wote wanapokea fedha za elimu bure aliyoikusanya mwenyewe, tarehe 1 feb, kila mbuzi anakura kwa urefu wa kamba yake, hakuna rushwa, hakuna wizi wa makontainer, wizi ndio utakoma kabisa maana hata kamanda wa matukio na show za Mativ zinaisha hapa ukiiba ni kufungwa tu, na unaonyeshwa live umeshika kibao kuwa wewe ni mwizi.
 
Sijui kama hii ni kwangu tu, lakini kiukweli Biashara tangu Mwezi November ni ngumu.

Nilitegemea labda kipindi hiki cha sikukuu lakini mambo ndo yamekuwa magumu tofauti na miaka mingine.

Sikukuu imekwenda hovyo, hela hakuna, na january ndo hii.

Rais huyu kaja na gundu, kaja na mikosi, naona shida zinazidi.
Wizi umedhibitiwa, thats why
 
Walio zoea kuishi kwa wizi ndo watakomaa lakini tulio kuwa tukitafuta kwa jasho letu kiharali tupo tu tunaendelea kuishi.
 
Back
Top Bottom