Nani kakudangaya? kura haziesabiwi na uniform. Mbona wengi tunavaa uniform za shule na za kazini lakini moyoni na akilini unatafuta kazi au shule mbadala? Wengi kijani wanavaa kulazimishwa kwenye box la kura tuko Nao UKAWA
Mimi si mwanaCCM ila uko right kabisa.EL akipata hata 25% ashukuru Mungu.Upepo wake tena wa kutengeneza kwa fedha hauzidi ule wa SLAA 2010 Amma MREMA 95!
Mavii, hata milioni tatu hazitafikaTutaandika sana kwenye mitandao ya kijamii ila Magufuli Raisi wa awamu ya Tano, kura million 15 za watanzania ana uhakika wa kupata.
Tutaandika sana kwenye mitandao ya kijamii ila Magufuli Raisi wa awamu ya Tano, kura million 15 za watanzania ana uhakika wa kupata.
Umewashindilia msumar ,hivi wakiona uniform ndio wanaamini kuwa wanashinda ,mbona hatuoni wakivaa hizo uniform mitaani ukilinganisha na wanaUKAWA ,habari za wanaojitutumua kuwa wao ni CCM ni za kusikitisha sana ,unajua hivi sasa ni aibu kubaa uniform ya CCM mtaani inataka moyo sana na uwe umeshajitolea kikwelikweli.
Kwanza huwezi wala huwa hawana nguvu ya kujitetea katika vibaraza ,muda mwingi wanakuwa wapo wadhaifu kabisa maana hawana la kujisifia baada ya miaka 50.
Jamaa mmoja aliitwa CCM ndani ya dala dala nusra auwe mtu ! Yaani alifanyiwa kamzaha tu kwa kuambiwa wewe ccm nin ? Aloo ilikuwa pata shika jamaa alitoa matusi huku akisema wataka kuniulisha ,daladala ilibidi isimame ,chezea mabadiliko wewe !
Kaka hapo umenena mi nilimshuhudia mwingine akiitwa mkimbizi baada ya kuonekana na anamponga lowasa.
Mavii, hata milioni tatu hazitafika
Kila siku zinavyoendelea anazidi kudhoofika na harakati zake sio zile za mwanzo, amehemewa na sasa tunaona ndani ya kichaka wanatokeza mmoja mmoja kumnadi kaanza Mkapa mara kazuka Kikwete, mara kaibuka Makamba kuna mmoja yule kafupi anhaa Mwinyi karibu bado anapima upepo.
CCM oyee ,ha ha haa mmefulia !