Barbarosa JF-Expert Member Apr 16, 2015 22,584 27,811 Feb 5, 2016 #1 Hapa akiwa Moro Kama kawaida yake alishuka kukagua kazi ya urekebishaji wa Br. iliyoharibiwa na mvua akiwa njiani kuelea Mji Mkuu wetu! HAPA KAZI TU!
Hapa akiwa Moro Kama kawaida yake alishuka kukagua kazi ya urekebishaji wa Br. iliyoharibiwa na mvua akiwa njiani kuelea Mji Mkuu wetu! HAPA KAZI TU!
chipaka.com JF-Expert Member Dec 5, 2015 2,883 1,189 Feb 5, 2016 #3 Ndio maana tulichagua Magufuli tukaacha ccm
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 39,981 96,236 Feb 5, 2016 #4 Hapo nime observe safety zero, na hapo ndipo Rais wetu atambue kwamba wakandarasi hawafuati taratibu za usalama na afya kazini
Hapo nime observe safety zero, na hapo ndipo Rais wetu atambue kwamba wakandarasi hawafuati taratibu za usalama na afya kazini
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,485 Feb 5, 2016 #6 Inamaana OSHA hawajaona mazingira na vifaa wanavyotumia hawa watu kwenye kufanya kazi?
J jjmm JF-Expert Member Feb 24, 2015 1,221 366 Feb 5, 2016 #8 Hongera jpm mteremko hakuna kazi tu katika safari pia
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,849 67,285 Feb 5, 2016 #9 Barbarosa said: Hapa akiwa Moro Kama kawaida yake alishuka kukagua kazi ya urekebishaji wa Br. iliyoharibiwa na mvua akiwa njiani kuelea Mji Mkuu wetu! HAPA KAZI TU! Click to expand... Nimependa picha ya mwisho, Vijana wa Mbweni walivyomakinika!
Barbarosa said: Hapa akiwa Moro Kama kawaida yake alishuka kukagua kazi ya urekebishaji wa Br. iliyoharibiwa na mvua akiwa njiani kuelea Mji Mkuu wetu! HAPA KAZI TU! Click to expand... Nimependa picha ya mwisho, Vijana wa Mbweni walivyomakinika!