Magufuli Kachanganyikiwa

Yaani we unadhani kuzunguka na watu hawa wote ni swala dogo, lazima achanganyikiwe

mmoja ni muua tembo na mwingine muuza twigaa

wengine wote ni watu wa kanda maalumu ndani ya ccm

 
Masikini wamechoka nyuso zao wanang'arishwa tu na hizo T shirt za vitambaa vya chupi.
 

Attachments

  • 1440505173719.jpg
    43 KB · Views: 138
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…