Hoja ya kumtaka Magufuli haina mshiko kitaifa kwanza binafsi nampongeza kwa kupandisha gharama ya Kivuko, yapo Mambo mengi ambayo yanawagusa watz na yanaongeza ugumu wa maisha si 100 kupanda kwa gharama za umeme na matatizo kibao yanayolikabili taifa letu nilitegemea wananchi wangepinga Hilo na ongezeko la shilingi 100 ambayo imedumu kwa ZAIDI ya miaka kumi na moja gharama za uendeshaji ni kubwa acha aongeze na kikubwa ni kuweka udhibiti mzuri wa kinachokusanywa. Magufuli chapa kazi
I would wish nauli ya KIVUKO ingepandishwa na kufikia 500/-
Hivi ni Kigamboni pekee yenye wananchi wa kipato cha chini?
Vipi Bunju, Kimara, Gongo la Mboto, Kitunda, e.t.c? Wao wanalipa kiasi gani kufika CBD?
Maisha yanazidi kuwa magumu. Gharama za maisha zinapanda kila siku. Maghufuli kaamua kuongezea gharama za maisha kwa WTZ. Serikali inatakiwa ikate matumizi ili kuwa na kuwa na balance budget nzuri kwa nchi.
Leo ktk TZ tunaona vinyume kabisa. Serikali inaonngeza matumizi yao, posho zao. Matokeo yake, Wananchi ndiyo wanatakiwa walipe hizo gharama za matumizi ya kijinga ya serikali. Tunapandishiwa Kodi, Nauli, ili maisha ya Vigogo yaendelee.
Hii siyo society nzuri. Tunaomba Waziri Maghufli awajibike kwa kujiuzulu kwa sababu ya kuendeleza mpango huu wa serikali bila ya manufaa ya Wananchi.
Kwanini WTZ walipishwe gharama kubwa za nauli kufidia matumizi ya kijinga(posho) ya Serikali? Kwa nini tuwalipie ili tubalance budget ya serikali? Kwa nini WTZ? Kwa nini tusikate matumizi?
Nakubali kwamba Maghufuli unatekeleza mpango huu ili uwafurahishe Vigogo wa nchi,ndiyo maana hata Dewji kaamua hadharani kukusuport. Tunakuoma Ujiuzulu; hii ni Kashfa kwa nchi yetu.
Sishangilii kuongezwa kwa nauli lakini pia siungi mkono hoja kwamba Maghufuli kujiuzulu eti kwa sababu kaongeza bei za kivuko. Bei ngapi zimeongezeka na hakuna waziri aliyeambiwa ajiuzulu. Bei za mafuta zinaonmgezeka kila siku hakuna waziri aliyeambiwa ajiuzulu, bei za vyakula na sukari zinaongezeka kila siku lakini hatujasema waziri ajiuzulu. Hivi kati ya kupanda kwa bei ya vyakula/sukari na kupanda kwa bei ya kivuko ni bei ipi inawaumiza wa Watanzania?Maisha yanazidi kuwa magumu. Gharama za maisha zinapanda kila siku. Maghufuli kaamua kuongezea gharama za maisha kwa WTZ. Serikali inatakiwa ikate matumizi ili kuwa na kuwa na balance budget nzuri kwa nchi.
Leo ktk TZ tunaona vinyume kabisa. Serikali inaonngeza matumizi yao, posho zao. Matokeo yake, Wananchi ndiyo wanatakiwa walipe hizo gharama za matumizi ya kijinga ya serikali. Tunapandishiwa Kodi, Nauli, ili maisha ya Vigogo yaendelee.
Hii siyo society nzuri. Tunaomba Waziri Maghufli awajibike kwa kujiuzulu kwa sababu ya kuendeleza mpango huu wa serikali bila ya manufaa ya Wananchi.
Kwanini WTZ walipishwe gharama kubwa za nauli kufidia matumizi ya kijinga(posho) ya Serikali? Kwa nini tuwalipie ili tubalance budget ya serikali? Kwa nini WTZ? Kwa nini tusikate matumizi?
Nakubali kwamba Maghufuli unatekeleza mpango huu ili uwafurahishe Vigogo wa nchi,ndiyo maana hata Dewji kaamua hadharani kukusuport. Tunakuoma Ujiuzulu; hii ni Kashfa kwa nchi yetu.
Maisha yanazidi kuwa magumu. Gharama za maisha zinapanda kila siku. Maghufuli kaamua kuongezea gharama za maisha kwa WTZ. Serikali inatakiwa ikate matumizi ili kuwa na kuwa na balance budget nzuri kwa nchi.
Leo ktk TZ tunaona vinyume kabisa. Serikali inaonngeza matumizi yao, posho zao. Matokeo yake, Wananchi ndiyo wanatakiwa walipe hizo gharama za matumizi ya kijinga ya serikali. Tunapandishiwa Kodi, Nauli, ili maisha ya Vigogo yaendelee.
Hii siyo society nzuri. Tunaomba Waziri Maghufli awajibike kwa kujiuzulu kwa sababu ya kuendeleza mpango huu wa serikali bila ya manufaa ya Wananchi.
Kwanini WTZ walipishwe gharama kubwa za nauli kufidia matumizi ya kijinga(posho) ya Serikali? Kwa nini tuwalipie ili tubalance budget ya serikali? Kwa nini WTZ? Kwa nini tusikate matumizi?
Nakubali kwamba Maghufuli unatekeleza mpango huu ili uwafurahishe Vigogo wa nchi,ndiyo maana hata Dewji kaamua hadharani kukusuport. Tunakuoma Ujiuzulu; hii ni Kashfa kwa nchi yetu.
message sent.I would wish nauli ya KIVUKO ingepandishwa na kufikia 500/-
Hivi ni Kigamboni pekee yenye wananchi wa kipato cha chini?
Vipi Bunju, Kimara, Gongo la Mboto, Kitunda, e.t.c? Wao wanalipa kiasi gani kufika CBD?
Kivuko kina gharama za uendeshaji n.k nani abebe mzigo wa kukigharamia kama si mtumiaji ?