Magufuli hakayajua haya ya Dau?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,684
149,887
20160404_081549.jpg

NSSF yatuhumiwa kwa ufisadi wa shilingi bilioni 179 katika ujenzi wa mradi wa Kigamboni.

Yanunua akari 300 kutoka kwa mbia wao kwa zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ekari moja huku wakiacha kutumia viwanja vyao vilivyoko huko huko Kigamboni.

Soma hapa: www.mwananchi.co.tz
 
Kuna vita kubwa sana ya kumsafisha Dau! Wamehama kwenye ufisadi sasa imehamia kwenye udini! Siku ikiwa kweli na akapanda kizimbani sijui takuwaje!
 
Dau wanamzushia tu, ripoti ya CAG haijawekwa public, taarifa za ufisadi NSSF ni jungu tu. kama ni kweli kwa nini hapelekwi mahakamani?
 
... Magufuli alifanya makusudi ili Wakat wa uchunguz Dau asiwe hapo kuzuia....


Ubaloz alitmpa ili asijistukie...
 
Dau wanamzushia tu, ripoti ya CAG haijawekwa public, taarifa za ufisadi NSSF ni jungu tu. kama ni kweli kwa nini hapelekwi mahakamani?
Kesi zinazopelekwa mahakamani normally zinakuwa zimekamilisha ushahidi. Ndicho wanachofanya sasa, kukusanya ushahidi. Mesi yaja
 
I am tired na hizi stori za DR. Dau. apelekwa mahakamani mara moja kama amelifanyia ufisadi shirika la umma. kama hakuna muacheni aendelee na maisha yake nasi tushughulike na mengine.
 
Back
Top Bottom