Magufuli: First EA President with a doctoral degree

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
72,927
Reaction score
103,797

MY TAKE
BTW, Kenya lags behind in this category has had two Presidents without degrees; Kenyatta and Moi. Also on records Tanzania is trail blazing other East African countries by having the first elected (not appointed) female vice President.

nomasana,
MK254, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, bagamoyo, Ngongo, AbTitchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee Mwanakijiji, Mwananchi
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language you are writing
 
Ukweli ni kwamba Shein ni (alikuwa?) RAIS wa kwanza EA mwenye PhD. ya kusomea tena ya UK. (In 1984 Dr. Shein joined Medical School at the University of Newcastle Upon Tyne, England for a PhD study where 1988 he was conferred with a PhD degree in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine specializing in "Inborn errors of Metabolism").
 
still from Tanzania
 
Muonye huyo anajisahau anafikiri bado Magufuli ni mgombea...ndugu! Be careful, Magufuli ameshakabidhiwa cheti cha ushindi na soon ataapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, then TCRA itapewa kazi kukutrace na kukuweka kunako..
jiangalie kijana...uhuru usivuke mipaka na kuanza kukashifu, Magufuli ni Rais wako sasa.
 
Why would a highly trained biochemist seek political office?
 
kuna haja gani ya kuringia elimu na kuitumia hamuwezi?????pambafuuuuuuuuu
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language your writing

Its is certainly not a must!!! The language any president that campaigns, is that of their native country and definatly not english!!!! Which means english is NOT a prerequisite to making it to presidatial office.. Nor sikuwah kusikia any rule or law that says a president should speak english.. English maybe one of the worlds premier language lakini sio only one.. Infact thats why kuna translators by profession so ur out of point!!!!!!
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language your writing
Jitathmini kwanza kabla povu halijakutoka.
 
I can't wait for Magufuli to assume office of chair of the EAC summit. Sijui atakuwa anawaaddress kwa lugha gani...hehee
Au atumie tu Kiswahili. Itawalazimu hao wengine kujifunza Kiswahili.
 
I can't wait for Magufuli to assume office of chair of the EAC summit. Sijui atakuwa anawaaddress kwa lugha gani...hehee
Au atumie tu Kiswahili. Itawalazimu hao wengine kujifunza Kiswahili.
Nafikri Kiswahili ni lugha ya mawasiliano kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki, hivyo anaruhusiwa kuitumia. Shida sasa inakuja kwa ndugu yangu anavyopenda kujitia madahiro, najua atalazimisha kuitumia hiyo lugha pamoja na kwamba inampiga chenga!! Sijui tutajificha wapi na hii aibu? Hivi hawawezi kumwingiza darasani angalau kwa miezi 6 ya kujifunza tu hiyo lugha? Maana nilichokisikia hata mtoto wa chekechea hawezi kuongea hivyo!
 
Lakini Kikwete pia si aliingia kwa Kiingereza chake cha 'is me is the'?
Sasa hivi yuko vizuri tu
Itabidi akae darasani hana jinsi tena!
Yaani ninavyowasikiaga wasanii wa bongo wakichapia natamanigi niingie uvunguni!
 
Jamani kitufe cha "like" kimeenda wapi? Umenivunja mbavu kwenye hiyo ya kutamanigi kuingia uvunguni, sasa subiri president elect uje umsikie na kama siku hiyo utakuwa uko Kenya utazodolewa mpaka ukome! Na hapa najiuliza sijui mchepuko wangu nitauambiaje na hicho Kiingereza (rafiki yangu wa Burundi alikuwa anaita "Chongereza")
 
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language you are writing

How have you known that your president knows nothing about others' countries? If yes,is he going to rule those countries? Halafu unaona lugha ya kingereza ni dili sana, ni ww tu unaitetemekea, Magufuli anatamba na lugha yake ya taifa,hivi rais wa China alivyokuja Tz alikuwa anaongea kingereza? usiwe mtumwa wa fikra za kimagharibi.
 
Hon doctor professor jakaya mrisho kikwete ....
 
Nchi itaongozwa kisayansi sasa ,tushikiane sasa kuijenga nchi yetu kwa pamoja ,Hapa kazi TU!
 
Sio muda waalumbano sasa,uchaguzi umeisha ,kilichobaki ni kushikamana na kusonga mbele.
 
Lakini Kikwete pia si aliingia kwa Kiingereza chake cha 'is me is the'?
Sasa hivi yuko vizuri tu
Itabidi akae darasani hana jinsi tena!
Yaani ninavyowasikiaga wasanii wa bongo wakichapia natamanigi niingie uvunguni!

= ninavyowasikia
= natamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…