Magufuli changamkia tenda: SAA to sell nine A340s as part of restructuring effort

Montserrat

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
10,273
13,847
Maji yamewafika shingoni wanaotudai $4m, wanauza ndege zao kubwa kabisa 9.

Namshauri Rais Magufuli anayewaambia kwamba yeye ni tajiri achangamkie tenda, tupate ndege nyingine za kwenda America na Ulaya nonstop.
 
Biashara ya ndege ni ngumu sana si unaona inavyowashinda SA sasa sisi tunanunua ndege kwa sifa, ngoja tuone yetu macho.
 
Fuatilia na Ryanair pamoja na Ethiopian utaelewa wenye stratergy nzuri wanafanyaje biashara.
 
Maji yamewafika shingoni wanaotudai $4m, wanauza ndege zao kubwa kabisa 9.

Namshauri Rais Magufuli anayewaambia kwamba yeye ni tajiri achangamkie tenda, tupate ndege nyingine za kwenda America na Ulaya nonstop.
Tunashindwa kujenga madarasa hata ya matofali mabovu.
Lakini midege tutanunua maana kuna 10 percent.
 
ndiyo nini hiyo?
Quads imefupishwa tu, namaanisha quad engined planes, ndege (zenye engine nne)
Maarufu kwa abiria duniani zilikuwa.

1. Airbus A380 hizi program ya kutengenezwa mpya imeshafungwa
2. Airbus A340 hi nazo zineshasitishwa kutengenezwa

3. Boeing 747...hizi zinaendelea kutengenezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yamewafika shingoni wanaotudai $4m, wanauza ndege zao kubwa kabisa 9.

Namshauri Rais Magufuli anayewaambia kwamba yeye ni tajiri achangamkie tenda, tupate ndege nyingine za kwenda America na Ulaya nonstop.
Ushauri huo hautakubaliwa. Sisi tunanunua ndege mpya kabisa zikiwa na makaratasi yake.
 
Back
Top Bottom