Magufuli azidi kuwaacha mbali wapinzani wake

Sudysoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
449
Reaction score
180
20151008064624.jpg 20151008064804.jpg 20151008064624.jpg 20151008064707.jpg [JFMP3] 20151008064721.jpg 20151008064804.jpg 20151008064804.jpg [/JFMP3]

Kila anakopita anapata wahudhuriaki wengi na anaposimama jukwaani anawaeleza wananchi mambo yanayoweza kutekelezeka tofauti na wengi. Tar 25 Magufuli atapata tiketi ya kuingia ikulu kuwatumikia wananchi
 
View attachment 296344View attachment 296345View attachment 296344View attachment 296346[JFMP3]View attachment 296347View attachment 296345View attachment 296345[/JFMP3]

Kila anakopita anapata wahudhuriaki wengi na anaposimama jukwaani anawaeleza wananchi mambo yanayoweza kutekelezeka tofauti na wengi. Tar 25 Magufuli atapata tiketi ya kuingia ikulu kuwatumikia wananchi

Hadithi yako inatufundisha nini?Mi huwa naona Fiesta Tu.....na jinsi wabongo wanavyopenda starehe.....nani asiyetaka kumuina Domo?
 
Kweli mfa maji haishi kutapatapa. Kwa hali ilivyo sasa, kama ningekuwa shabiki wa CCM, ningekaa pembeni maana ukweli wa anguko la CCM upo wazi. Lakini nasema hivyo labda kwakuwa nina shughuli ya kunipatia riziki. Huenda kama ningekuwa jobless labda ningekuwa kwenye buku saba list hivyo labda ningekuwa napost humu njozi za alinacha kumsifia Magufuli ili mradi mkono uende kinywani. Lakini baada ya uchaguzi, Mola atawapatia buku saba namna nyingine ya kupata riziki maana nao ni waja wake japo hii kazi wanayofanya sasa hakuwapa yeye. Yamepewa na adui wa Maulana.
 
Hao watu wenu wa Kununua.....shaueri zenu,mnapoteza hela Tu.Hadi Leo nishakula 200000 za ccm.Kura siwapi ng'o.Kwani siku ya kura mtaniona?��
 
Kweli mfa maji haishi kutapatapa. Kwa hali ilivyo sasa, kama ningekuwa shabiki wa CCM, ningekaa pembeni maana ukweli wa anguko la CCM upo wazi. Lakini nasema hivyo labda kwakuwa nina shughuli ya kunipatia riziki. Huenda kama ningekuwa jobless labda ningekuwa kwenye buku saba list hivyo labda ningekuwa napost humu njozi za alinacha kumsifia Magufuli ili mradi mkono uende kinywani. Lakini baada ya uchaguzi, Mola atawapatia buku saba namna nyingine ya kupata riziki maana nao ni waja wake japo hii kazi wanayofanya sasa hakuwapa yeye. Yamepewa na adui wa Maulana.
ok kama sisi wa ccm na magufuli ni buku 7 lumumba tusubiri oct 25. kila kitu sasa kiko ukutani kwa wenye macho kuona. vipofu ndio bado wana ndoto ya wapiga dili kuongoza nchi hii.
 
Hapo mshawahonga hizo jezi zenu halafu mkaona haitoshi mkaamua kuwaitia na burudani ya mziki maana bila hivyo hampati watu, CCM muna mioyo ya chuma aisee, ningekuwa mimi ningelishaacha kampeni zamani maana huwa sipendagi kujidanganya.
 
Kweli mfa maji haishi kutapatapa. Kwa hali ilivyo sasa, kama ningekuwa shabiki wa CCM, ningekaa pembeni maana ukweli wa anguko la CCM upo wazi. Lakini nasema hivyo labda kwakuwa nina shughuli ya kunipatia riziki. Huenda kama ningekuwa jobless labda ningekuwa kwenye buku saba list hivyo labda ningekuwa napost humu njozi za alinacha kumsifia Magufuli ili mradi mkono uende kinywani. Lakini baada ya uchaguzi, Mola atawapatia buku saba namna nyingine ya kupata riziki maana nao ni waja wake japo hii kazi wanayofanya sasa hakuwapa yeye. Yamepewa na adui wa Maulana.

Duuuh, wewe uko dunia ipi ndugu yetu! Yaani bado una mawazo ya mwaka 1 mpaka leo! Pole yako & kama una familia basi ninaionea huruma sana hiyo familia na kama bado hujawa na familia basi familia yako itakuwa na shida pamoja na taabu nyingi sana endapo utaendelea na kudumu katika hizi fikra ulizonazo wakati huu! Pole sana, ila bado unayo nafasi ya kubadirika kifikra!
 
Back
Top Bottom