😕😕😕nilichokikuta sikukitegemea...nilidhani kawaponda😕
Pole unaonekana mgeni wa magazeti ya udaku
Asante mkuu..yale nje unakuta "WAZIRI ABAKA"soma ukurasa wa 7...ukienda ukurasa wa 7 unakuta ooh Mkazi wa mbagala Waziri juma amebaka..:what::what:yanatia kinyaa..
Asante mkuu..yale nje unakuta "WAZIRI ABAKA"soma ukurasa wa 7...ukienda ukurasa wa 7 unakuta ooh Mkazi wa mbagala Waziri juma amebaka..:what::what:yanatia kinyaa..
Hahahaaaaa...eti waziri abaka...hii kali, halafu wanakuwekea na picha ya mawaziri kumbe haihusiani
Hahahaha kweli kabisa mkuuulimbwende na siasa wapi na wapi. jk kakomesha kwa kuweka bulldozer. wauza sura sasa hakuna uongozi,..kazi tu sasa.
Wasanii amabao hawajawahi ingia ikulu kipindi cha mkulu basi watapasikia kwenye bomba