Magufuli atikisa Geita

Magufuli atikisa Geita

makoko jumanne

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
584
Reaction score
164
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi John pombe Magufuli ametikisa katika mji wa Geita Kwa kunadi sera zake vzr
 
pasipo kutegemea magufuli kaiteka sana kanda ya ziwa na wengi wamerudisha kadi na kurudi ccm wakiamini chini ya magufuli tutarejea misingi ya mwalimu nyerere
 
Mechi ya home; unategemea nini
 
Magufuli ni kizuri kinachojiuza,acha ukawa wajitembeze wakati wanajua madhambi yao vikatio vipo tayari watanzania si vichwa vya pazi kiasi hicho kwamba wamemsahau lowassa ila.wanampotezea tu
 
walizojitambia ni kambi za ukawa, magufuli kazipasua zote, na bado huko ndo atakapowapiga watashangaa sana
 
Chadema watavuna walicho panda kwakukosa sera mgombea ananadi sera kwa wana nchi eti ananza mabadiliko nawaambia elimu itakua bure kura mtanipa asanteni saba
 
Chadema watavuna walicho panda kwakukosa sera mgombea ananadi sera kwa wana nchi eti ananza mabadiliko nawaambia elimu itakua bure kura mtanipa asanteni saba

Hatariiii sana hawa jamaaa ..alafu eti wapewe nchi wakati hata mtaa hawastahili kupewa
 
Hawa ni walewale waliojiunga huku juzi. 73% ya vijana wanampenda Lowassa
 
Back
Top Bottom