Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Mwenyekiti atawakata wengi, kwa sababu analo liamua yeye ndiyo analotaka lifanyike. Mara nyingi huwa hapendi kuruhusu mijadala katika mambo yanayohitaji mijadala analoliamini yeye ndilo analotaka litekelezwe. Wanaccm walio jitengenezea mazingira ya kutofautiana na Sizonje waanze kujiandaa kisaikolojia mapema na wajue kwamba 2020 ni mwisho wao.

Watu ambao wataathirika zaidi na misimamo yao ambao vikao vya juu vya chama vya uteuzi vitakavyokaa 2020 ni pamoja hawa wafuatao.
1. Nape Nnauye
2. Dr. Kafumu
3. Kibajaji
4. Musukuma
5. Andrew Chenge
6. Kangi Lugora
7: Nyalandu
8. Kitwanga
9. Bashe
10. Vick Kamata
11. Halima Bulembo na baba yake
12. Mlingwa.
 
Mwenyekiti atawakata wengi, kwa sababu analo liamua yeye ndiyo analotaka lifanyike. Mara nyingi huwa hapendi kuruhusu mijadala katika mambo yanayohitaji mijadala analoliamini yeye ndilo analotaka litekelezwe. Wanaccm walio jitengenezea mazingira ya kutofautiana na Sizonje waanze kujiandaa kisaikolojia mapema na wajue kwamba 2020 ni mwisho wao.

Watu ambao wataathirika zaidi na misimamo yao ambao vikao vya juu vya chama vya uteuzi vitakavyokaa 2020 ni pamoja hawa wafuatao.
1: Nape
2: dr. Kafumu
3: Kibajaji
4: Msukuma
5: Chenge
6: Lugora
7: Nyarandu
Sheikh Yahaya kakuachia mikoba

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti atawakata wengi, kwa sababu analo liamua yeye ndiyo analotaka lifanyike. Mara nyingi huwa hapendi kuruhusu mijadala katika mambo yanayohitaji mijadala analoliamini yeye ndilo analotaka litekelezwe. Wanaccm walio jitengenezea mazingira ya kutofautiana na Sizonje waanze kujiandaa kisaikolojia mapema na wajue kwamba 2020 ni mwisho wao.

Watu ambao wataathirika zaidi na misimamo yao ambao vikao vya juu vya chama vya uteuzi vitakavyokaa 2020 ni pamoja hawa wafuatao.
1: Nape
2: dr. Kafumu
3: Kibajaji
4: Msukuma
5: Chenge
6: Lugora
7: Nyarandu
8: Kitwanga
9: Bashe
10: Vick kamata
11: Halima Bulembo na baba yake
12: Mlingwa.
Hao wengine waje tu opposition penye ukweli na ujasiri, Ila Lugola,Milinga na Kibajaji ni wa hovyo hatuwataki wakaungane na DOVUTWA kule.
 
Mwenyekiti atawakata wengi, kwa sababu analo liamua yeye ndiyo analotaka lifanyike. Mara nyingi huwa hapendi kuruhusu mijadala katika mambo yanayohitaji mijadala analoliamini yeye ndilo analotaka litekelezwe. Wanaccm walio jitengenezea mazingira ya kutofautiana na Sizonje waanze kujiandaa kisaikolojia mapema na wajue kwamba 2020 ni mwisho wao.

Watu ambao wataathirika zaidi na misimamo yao ambao vikao vya juu vya chama vya uteuzi vitakavyokaa 2020 ni pamoja hawa wafuatao.
1: Nape
2: dr. Kafumu
3: Kibajaji
4: Msukuma
5: Chenge
6: Lugora
7: Nyarandu
8: Kitwanga
9: Bashe
10: Vick kamata
11: Halima Bulembo na baba yake
12: Mlingwa.
Yeye mwenyewe atapona?Sidhani kama wana CCM wanamkubali!Nadhani patachimbika sana kuwaondoa hao watu, hasa Msukuma na Chenge!Bashite anaharibu beyond repair na sidhani kama Mkulu atasalimika.Tuombe uzima!!
 
Back
Top Bottom