jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kwa maoni yangu na observation yangu namuona Magufuli akiwa ni Rais pekee mpaka sasa ambaye ataweza kuikamilisha matakwa ya Ilani ya CCM na ahadi alizotoa kwa wananchi ndani ya kipindi kifupi sana ...yaani kabla ya 2020 Magufuli atakuwa ameanza kutekeleza mambo ya ziada.
Kasi ya Magufuli ni ya ajabu sana!
Hebu ishike ilani ya CCM halafu pitia vipengele vyake na uone aliyoyafanya hadi leo kabla ya utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza.
Wanaojaribu kumzuia kwa kuleta zogo badala ya hoja ni lazima wadhibitiwe vilivyo ili wasicheleweshe maendeleo kwa wananchi.
Zile NGOs zinazotupigiaka kelele wakati wa uchaguzi zirudi hapa na tathmini ya utekelezaji wa ahadi kwa vyama vyetu vya siasa....CCM ipimwe na wengine wapimwe pia.
TINGA TINGA LIKO UWANJANI LAZIMA VILIO VIWEPO NA HIYO NDIO ISHARA YA KWAMBA TINGATINGA LINAFANYA KAZI YAKE VIZURI.