Ccm wsjipime lkn wawe makini sana na upepo wa sasa wa siasa tunamtaka magufuli maana tunamfaamu wakituletea tusiye mjua kazi wanayo au wabuge watakosa mtu wa kuwaombea kura
Maana naona CCM kwa sasa wanafanya gambling!
Huyu ndiye nguzo ya ushindi wa CCM. Anakubalika kila pembe ya nchi. Ni mchapakazi asiye na kifani. Wakati wenzake wanazunguka kujenga makundi ndani ya chama nchi nzima yeye alikuwa akizunguka kuwatumikia wananchi kwa kuwapelekea barabara kila kona ya nchi.Maana naona CCM kwa sasa wanafanya gambling!
Naona vijana wa Magufuli mnajitekenya na kucheka wenyewe..... Kwa taarifa yenu ujio wa Jaji Ramadhani umempoteza Magufuli kabisa kwenye ramani
Huyu ndiye nguzo ya ushindi wa CCM. Anakubalika kila pembe ya nchi. Ni mchapakazi asiye na kifani. Wakati wenzake wanazunguka kujenga makundi ndani ya chama nchi nzima yeye alikuwa akizunguka kuwatumikia wananchi kwa kuwapelekea barabara kila kona ya nchi.
naona vijana wa magufuli mnajitekenya na kucheka wenyewe..... Kwa taarifa yenu ujio wa jaji ramadhani umempoteza magufuli kabisa kwenye ramani
huyu ndiye nguzo ya ushindi wa ccm. Anakubalika kila pembe ya nchi. Ni mchapakazi asiye na kifani. Wakati wenzake wanazunguka kujenga makundi ndani ya chama nchi nzima yeye alikuwa akizunguka kuwatumikia wananchi kwa kuwapelekea barabara kila kona ya nchi.
Mkuu kwa Dr. Magufuli CCM itatumia nguvu kidogo na ushindi wake hauwezi tiliwa shaka na watu kwa kuwa ni mtu anayekubalika pande zote kwa uchapaji kazi wake. Huko kwingine ushindi unaweza patikana lakini wa shida kweli kweli na hurnda tukaja shuhudia ugawanaji wa madaraka kat ya CCM na UKAWANaona vijana wa Magufuli mnajitekenya na kucheka wenyewe..... Kwa taarifa yenu ujio wa Jaji Ramadhani umempoteza Magufuli kabisa kwenye ramani
Magufuli kauza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa. hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaa, Fisadi
Note; rais ni jaji Augustino Ramadhan period