Magufuli are you real deal ?

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,163
1,308
Nitatumbua majipu ,nawaomba watanzania mniombee kwa mwenyezi mungu.Hizo ni kauli za rais JP Magufuli katika siku 100 . Huyu rais ameshindwa kutangaza mshahara wake hadharani kama yeye anavyojiita rais watu.Aliyekuwa rais wa Brazil Rousseff Dilma amekamatwa na kuhojiwa na polisi nchini humo kwa matumizi mabaya ya ofisi .Nitakuwa na imani na wewe ukiondoa Sheria ya rais kutoshitakiwa mahakamani (impeachment law)
Kwa sababu hata wewe sio msafi hata kidogo tukijikumbusha yaliyotokea wizara ya ujenzi na Nyumba za serikali zilizouzwa imani na wewe sina
 
Kwanza kabisa ukisha jua mshahara wake itakusaidia nini?pili rais habadilishi sheria, sio kazi yake hiyo, tatu hapa sio brazil ni bongo na nne je kuna msafi tanzania hii?
 
Sheria ya kinga ya kiongozi ibadilishwe, vipi kuhusu mafisadi wengine wengi tu ambao wanaiibia nchi lakini wala sio marais?. Yaani mabadiliko yote ya sheria inayotoa kinga yafanyike kwa sababu ya kumuwinda rais peke yake?, wale wanaotumia mitandao ya marafiki wakati wa kampeni halafu wakaikosa ikulu, na wao wanashughulikiwa vipi?. Usafi wa fedha za hao watafutaji wa urais halafu wakaukosa, nani anaufahamu vizuri?. Kutoshtakiwa kwa rais kunaweza kujenga double standards, lakini katika wigo mpana sheria za aina hiyo ziguse walio wengi, rais anayelengwa hafanyi ufisadi pasipo katika nchi kujengeka hulka za ufisadi.
 
Kwanza kabisa ukisha jua mshahara wake itakusaidia nini?pili rais habadilishi sheria, sio kazi yake hiyo, tatu hapa sio brazil ni bongo na nne je kuna msafi tanzania hii?
Kama hakuna msafi uhalali wa kutumbua wengine unatoka wapi? Hizo buku saba zinawafanya wa lumumba muwe vioja
 
Back
Top Bottom