Tumesikia habari mbaya leo kwamba bodi ya mikopo ya kujiunga na chuo kikuu HELB imeweza kuwapa mkopo wanafunzi 12000 tu kati ya wanafunzi 70000 iliyowadahili mwaka huu wa masomo. Cha kusikitisha wanafunzi wa kike teyari wameonyeshwa madangulo huko Sinza Mori mahali ambapo wanaweza kupata sh 30000 kutwa , wameonyeshwa na wenzao wazoefu ili wapate hata nauri ya kurudia hadi hapo wanafunzi wengine watakapoweza kupata mkopo kutegemea na upatikanaji wa fedha serikalini..
Rais mteule nakushauri ukiingia ikulu anza nakuwawezesha wanaunzi hawa kwanza , Wabunge watakaohudhuria kikao cha kuapishwa na kuidhinisha jina la waziri mkuu wasubiri posho zao hadi hapo baadae hela itakapopatikana.
Wabunge ndio waanze kuisoma namba, wanafunzi Mh Rais wasaidie wengi ni watoto wa maskini