Magufuli anakanyaga nyayo za Mwl. Nyerere na Sokoine

Prosper C Manasse

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
635
690
- Tangu Ameapishwa Yapata Miezi Takribani Mi5 Sasa Na Kuna Mambo Ambayo Watz Tumeshaanza Kuyaona Tofauti Na Awamu Zilizopita.

- Najua Kuna Watu Ambao Wanachukia Sana Kuona Magufuli Anasifiwa Lakn Lazima Tukubali Mambo Mema Afanyayo Japo Yeye Ni Mwanadamu Na Anaweza Kukosea Kama Vile Mama Yako Alivyosifiwa Mzaa Chema Lakn Leo Umemtelekeza Hata Kipande Cha Mbuni Humpatii.

BAADHI YA MAMBO ALOFANYA KWA KIPINDI CHA MIEZI MI5.

1. UZALENDO.
Magufuli Kajitahidi Sana Kurudisha Umoja Wa Kitaifa Ambao Ndio Msingi Wa Uzalendo. Jamii Haiwezi Kuwa Na Uzalendo Kama Haitasimama Kama Wamoja Ama Kuungana Kwa Nia Ya Kulikomboa Taifa, Umoja Ni Nguvu Na Ndio Huleta Maendeleo.

2. UTII NA UWAJIBIKAJI.
Ktk Kipindi Kifupi, Dkt Magufuli Ameweza Kuongeza Uwajibikaji Hasa Kwa Watumishi Wa Umma, Na Hii Imeakisi Mpaka Sekta Binafsi Ambapo Wameiga Utendaji Wake Kwa Kuhimiza Watu Ktk Himaya Zao Wapige Kazi Ipasavyo.
Awali Watumishi Wa Umma Walifanya Kazi Kwa Kujitakia Lakn Tangu Magufuli Amekamata Nchi, Tumeona Tofauti Kubwa Sana Hasa Nidhamu Kubwa Kwa Watumishi Wa Umma Utii Na Kufuata Maelekezo.

3. UFISADI.
Amejitahidi Kwa Kiasi Kikubwa Kupingana Na Ufisadi Ambao Umekuwa Ukilalamikiwa Sana Na Wananchi Bila Kusau Wapinzani.

4. MAPATO KUONGEZEKA.
Sote Tumeshuhudia Jinsi Mapato Yalivyoongezeka Kutokana Na Vyanzo Vile Vile Vya Awali Ambavyo Awamu Zote Zilizopita Zilikuwa Zikivitumia. Hii Inathibitisha Ni Jinsi Gani Ambavyo Amelenga Kujiandaa Kuweka Mazingira Mazuri Ya Kimaendeleo Kwa Watz Wote.
Kupunguza Matumizi Yasiyo Lazima Na Kuelekeza Pesa Kwny Miradi Muhimu Yenye Tija Kwa Kila Mtanzania Ni Moja Ya Njia Ya Kupunguza Matumizi Ili Kwendana Na Kipato Halisi.

5. KUFUKUZA WAZEMBE.
Amejitahidi Pia Kufukuza Viongozi Walokuwa Miungu Watu Na Waloifanya Serikali Mtaji Wao Kwa Wizi Wa Kila Namna. Alifukuza Badala Ya Kuhamisha Na Pia Aliwafikisha Mahakamani Viongozi Wabadhirifu, Hii Huleta Na Huongeza Uzalendoa Kwa Watz.
Awali, Kazi Ilikuwa Dhamana Kwa Watu Wa Vyeo Vya Chini, Lakn Sasa Tunaona Hata Kwa Viongozi Kazi Imekuwa Dhamana.

6. HUDUMA ZA KIJAMII.
Awali Huduma Za Kijamii Zilidorola Sana Kuanzia Kwny Uwajibikaji Mpaka Gharama Za Huduma Hizi Kuwa Ghari Na Si Bora.

Sasa Huduma Za Afya Zimekuwa Bei Chee Wakat Elimu Kuanzia Msingi Hadi Kidato Imekuwa Bure.

Umeme Ulokuwa Umelalamikiwa Kwa Muda Mrefu Kuwa Juu Ambapo Unit1 Ilikuwa Tsh298 Bila Kodi, (Tarif1) Tangu Tarh 1April Gharama Imepungua Kwa Tsh6, Ambapo Sasa Tunalipa 292 Bila Kodi.

Dkt Magufuli Akaona Si Vyema Tuuziwe Umeme Kwa Bei Ghali Halafu Gharama Za Kuendesha Huduma Tulipe Tena Sisi Watz. Akatuonea Huruma Na Kutoa Amri Iloambatana Na Maelekezo Ya Kuondoa Service Charge Ambayo Tulikuwa Tunalipa Tsh,5520 Bila Kodi.

Kwa Sasa:
VAT 18% ,
REA 3%,
EWURA 1%,
TOTAL 22% As Per Transaction.

7. MENGINEYO.
Yapo Mambo Mengi Ambayo Mh.JPM Kayafanya Hasa Kwa Kipindi Hiki Kifupi Cha Miezi Mi5 Na Sote Tunayaona Siwezi Kutaja Yote.
Mambo Haya Ameyafanya Akiwa Anatembelea Bajeti Ya Serikali Ya Awamu Ya4, So Tumpe Muda Tuone Bajeti Yake Ili Alenge Yale Tutakayo Watz.

UHALISIA WA BINADAMU.
Mwanadamu Hawezi Kumridhisha Kila Mtu, Hata Wewe Unayemponda Magufuli Kwa Haya Mazuri Alofanya Na Imani Kwmb, Hata Unapoishi Hukubaliki Na Watu Wote.
Hata Gadaf Wa Libya Alijitahidi Kqa Wananchi Wake Na Akawapa Ambavyoa Hakuna Nchi Afica Ilokuwa Ikila Raha Zao, Lakn Walomwona Hafai Kwa Shinikizo La Mataifa Makubwa, Na Leo Bahari Ya Mediteranian Imekuwa Kaburi Lao.

Jambo La Kuzingatia Ni Kukubalika Na Wengi Na Si Wote Kwani Hata Yesu Na Mtume Muhamad Wapo WanaoWakataa Japo Tunaamini Kwmb Walitumwa Na Mungu Kutuokoa Sisi. So Umchukie Ama Umpende, Maendeleo Ni Ya Watz Wote.

NENO LANGU.
Ukiangalia Kwa Umakini Utagundua Kuwa, Mambo Mengi Alofanya Magufuli Amezingatia Sana Kero Za Wapinzani Ambao Ni Wawakilishi Wetu Ndani Na Nje Ya Bunge.

Wapinzani Waliongea Sana Na Walionekana Kama Wanapiga Kelele Lakn Yale Walonena Ndiyo Mh.JPM Anayatekeleza.

Mpinzani Mwema Atampongeza JPM Lakn Mpinzani Mwovu Bado Ataendelea Kumponda, Na Atafanya Hivyo Kwa Maslahi Yake Na Si Ya Taifa.

HITIMISHO.
Kufuata Sera Za Mwl Nyerere Na Kuzitimiza Ni Kumuenzi Yeye Na Sokoine Ambao Hatuwezi Kuwasahau Kwa Uzalendo Wao Tanzania.

Mungu Mbariki MH.JPM Dhidi Ya Wanaomwombea Mabaya Na Kumuwekea Mitego Ajikwae Na Kuanguka, Pia Mbariki Makamo Wa rais Mama Samia Suluhu, W/Mkuu Kasim Majaliwa, Mawaziri Wote Bila Kuwasahau Wananchi Watz Kwa Ujumla.
 
usifananishe kifo na usingizi eti magufuli na nyerere wapi na wapi
Kwanini asifananishe?!
Nyerere alipoingia madarakani kulikuwa na idadi ya watu 9-12 milioni hakukuwa na Utandawazi pia wengi hawakujua kusoma wala kuandika inshort aliongoza (illiterates) wengi ila alijitahidi kwa kiwango chake especially akitumia mfumo wa ujamaa lakini Magufuli ameingia madarakani estimation ya watu ni 45 million na Utandawazi umekuwa sana. Mfumo wa Ubepari ukiangalia wasomi wapo wa kujitosheleza, watu wanajua kupambanua mambo tofauti na zama zile, lakini na hayo yote bado anaonesha usukani ameumudu vilivyo yaani upele umepata mkunaji.

Acheni kuwachukulia kina Nyerere na Sokoine kama walikuwa malaika bwana. Ni kweli wana mchango na historia kubwa lakini si jambo la kusema eti hakuna kiongozi atakayeweza kuvaa viatu vyao...tena inawezekana huyo Nyerere angeongoza zama hizi nchi ingemshinda (assumptions)
Magufuli anaplay karata yake vyema kwa zama na nyakati tulizopo Sasa.
Nawasilisha
 
Sina Neno Hapa Mkuu, Jamaa Anapiga Kazi Vyema Sana Ndio Maana Unaona Hata Wapinzani Wamekuwa Kimya Maana Ukosoe Wapi Sasa?!.
Jaman Tumuombee Huyu.
 
*Tangu Ameapishwa Yapata Miezi Takribani Mi5 Sasa Na Kuna Mambo Ambayo Watz Tumeshaanza Kuyaona Tofauti Na Awamu Zilizopita.

*Najua Kuna Watu Ambao Wanachukia Sana Kuona Magufuli Anasifiwa Lakn Lazima Tukubali Mambo Mema Afanyayo Japo Yeye Ni Mwanadamu Na Anaweza Kukosea Kama Vile Mama Yako Alivyosifiwa Mzaa Chema Lakn Leo Umemtelekeza Hata Kipande Cha Mbuni Humpatii.

BAADHI YA MAMBO ALOFANYA KWA KIPINDI CHA MIEZI MI5.

1. UZALENDO.
Magufuli Kajitahidi Sana Kurudisha Umoja Wa Kitaifa Ambao Ndio Msingi Wa Uzalendo. Jamii Haiwezi Kuwa Na Uzalendo Kama Haitasimama Kama Wamoja Ama Kuungana Kwa Nia Ya Kulikomboa Taifa, Umoja Ni Nguvu Na Ndio Huleta Maendeleo.

2. UTII NA UWAJIBIKAJI.
Ktk Kipindi Kifupi, Dkt Magufuli Ameweza Kuongeza Uwajibikaji Hasa Kwa Watumishi Wa Umma, Na Hii Imeakisi Mpaka Sekta Binafsi Ambapo Wameiga Utendaji Wake Kwa Kuhimiza Watu Ktk Himaya Zao Wapige Kazi Ipasavyo.
Awali Watumishi Wa Umma Walifanya Kazi Kwa Kujitakia Lakn Tangu Magufuli Amekamata Nchi, Tumeona Tofauti Kubwa Sana Hasa Nidhamu Kubwa Kwa Watumishi Wa Umma Utii Na Kufuata Maelekezo.

3. UFISADI.
Amejitahidi Kwa Kiasi Kikubwa Kupingana Na Ufisadi Ambao Umekuwa Ukilalamikiwa Sana Na Wananchi Bila Kusau Wapinzani.

4. MAPATO KUONGEZEKA.
Sote Tumeshuhudia Jinsi Mapato Yalivyoongezeka Kutokana Na Vyanzo Vile Vile Vya Awali Ambavyo Awamu Zote Zilizopita Zilikuwa Zikivitumia. Hii Inathibitisha Ni Jinsi Gani Ambavyo Amelenga Kujiandaa Kuweka Mazingira Mazuri Ya Kimaendeleo Kwa Watz Wote.
Kupunguza Matumizi Yasiyo Lazima Na Kuelekeza Pesa Kwny Miradi Muhimu Yenye Tija Kwa Kila Mtanzania Ni Moja Ya Njia Ya Kupunguza Matumizi Ili Kwendana Na Kipato Halisi.

5. KUFUKUZA WAZEMBE.
Amejitahidi Pia Kufukuza Viongozi Walokuwa Miungu Watu Na Waloifanya Serikali Mtaji Wao Kwa Wizi Wa Kila Namna. Alifukuza Badala Ya Kuhamisha Na Pia Aliwafikisha Mahakamani Viongozi Wabadhirifu, Hii Huleta Na Huongeza Uzalendoa Kwa Watz.
Awali, Kazi Ilikuwa Dhamana Kwa Watu Wa Vyeo Vya Chini, Lakn Sasa Tunaona Hata Kwa Viongozi Kazi Imekuwa Dhamana.

6. HUDUMA ZA KIJAMII.
Awali Huduma Za Kijamii Zilidorola Sana Kuanzia Kwny Uwajibikaji Mpaka Gharama Za Huduma Hizi Kuwa Ghari Na Si Bora.

Sasa Huduma Za Afya Zimekuwa Bei Chee Wakat Elimu Kuanzia Msingi Hadi Kidato Imekuwa Bure.

Umeme Ulokuwa Umelalamikiwa Kwa Muda Mrefu Kuwa Juu Ambapo Unit1 Ilikuwa Tsh298 Bila Kodi, (Tarif1) Tangu Tarh 1April Gharama Imepungua Kwa Tsh6, Ambapo Sasa Tunalipa 292 Bila Kodi.
Dkt Magufuli Akaona Si Vyema Tuuziwe Umeme Kwa Bei Ghali Halafu Gharama Za Kuendesha Huduma Tulipe Tena Sisi Watz. Akatuonea Huruma Na Kutoa Amri Iloambatana Na Maelekezo Ya Kuondoa Service Charge Ambayo Tulikuwa Tunalipa Tsh,5520 Bila Kodi.
Kwa Sasa,
VAT 18% ,
REA 3%,
EWURA 1%,
TOTAL 22% As Per Transaction.

7. MENGINEYO.
Yapo Mambo Mengi Ambayo Mh.JPM Kayafanya Hasa Kwa Kipindi Hiki Kifupi Cha Miezi Mi5 Na Sote Tunayaona Siwezi Kutaja Yote.
Mambo Haya Ameyafanya Akiwa Anatembelea Bajeti Ya Serikali Ya Awamu Ya4, So Tumpe Muda Tuone Bajeti Yake Ili Alenge Yale Tutakayo Watz.

UHALISIA WA BINADAMU.
Mwanadamu Hawezi Kumridhisha Kila Mtu, Hata Wewe Unayemponda Magufuli Kwa Haya Mazuri Alofanya Na Imani Kwmb, Hata Unapoishi Hukubaliki Na Watu Wote.
Hata Gadaf Wa Libya Alijitahidi Kqa Wananchi Wake Na Akawapa Ambavyoa Hakuna Nchi Afica Ilokuwa Ikila Raha Zao, Lakn Walomwona Hafai Kwa Shinikizo La Mataifa Makubwa, Na Leo Bahari Ya Mediteranian Imekuwa Kaburi Lao.

Jambo La Kuzingatia Ni Kukubalika Na Wengi Na Si Wote Kwani Hata Yesu Na Mtume Muhamad Wapo WanaoWakataa Japo Tunaamini Kwmb Walitumwa Na Mungu Kutuokoa Sisi. So Umchukie Ama Umpende, Maendeleo Ni Ya Watz Wote.

NENO LANGU.
Ukiangalia Kwa Umakini Utagundua Kuwa, Mambo Mengi Alofanya Magufuli Amezingatia Sana Kero Za Wapinzani Ambao Ni Wawakilishi Wetu Ndani Na Nje Ya Bunge.
Wapinzani Waliongea Sana Na Walionekana Kama Wanapiga Kelele Lakn Yale Walonena Ndiyo Mh.JPM Anayatekeleza.
Mpinzani Mwema Atampongeza JPM Lakn Mpinzani Mwovu Bado Ataendelea Kumponda, Na Atafanya Hivyo Kwa Maslahi Yake Na Si Ya Taifa.

HITIMISHO.
Kufuata Sera Za Mwl Nyerere Na Kuzitimiza Ni Kumuenzi Yeye Na Sokoine Ambao Hatuwezi Kuwasahau Kwa Uzalendo Wao Tanzania.

Mungu Mbariki MH.JPM Dhidi Ya Wanaomwombea Mabaya Na Kumuwekea Mitego Ajikwae Na Kuanguka, Pia Mbariki Makamo Wa rais Mama Samia Suluhu, W/Mkuu Kasim Majaliwa, Mawaziri Wote Bila Kuwasahau Wananchi Watz Kwa Ujumla.
Siyo bure wewe kuna kitu kinakuchanganganya kama siyo zile nafasi 46 basi babako ni jipu
 
Kwanini asifananishe?!
Nyerere alipoingia madarakani kulikuwa na idadi ya watu 9-12 milioni hakukuwa na Utandawazi pia wengi hawakujua kusoma wala kuandika inshort aliongoza (illiterates) wengi ila alijitahidi kwa kiwango chake especially akitumia mfumo wa ujamaa lakini Magufuli ameingia madarakani estimation ya watu ni 45 million na Utandawazi umekuwa sana. Mfumo wa Ubepari ukiangalia wasomi wapo wa kujitosheleza, watu wanajua kupambanua mambo tofauti na zama zile, lakini na hayo yote bado anaonesha usukani ameumudu vilivyo yaani upele umepata mkunaji.

Acheni kuwachukulia kina Nyerere na Sokoine kama walikuwa malaika bwana. Ni kweli wana mchango na historia kubwa lakini si jambo la kusema eti hakuna kiongozi atakayeweza kuvaa viatu vyao...tena inawezekana huyo Nyerere angeongoza zama hizi nchi ingemshinda (assumptions)
Magufuli anaplay karata yake vyema kwa zama na nyakati tulizopo Sasa.
Nawasilisha
Hizo ni ndoto za mchana kweupe kariakoo
 
Back
Top Bottom