kisiri mwihechi
Senior Member
- Jun 8, 2015
- 135
- 24
Huyu akiwa Rais itakuwa maajabu ya 8 haya
#HapanikazituSijawahi kuona Dr fake kama magufuli. Yaani yeye kila msemo anaiga tu. Atabuni misemo yake lini?
magufuli hafai kuongoza nchi.... hana hulka ya utawala.... mtawala akiwa mbabe ni pigo kwa wananchi wake.... kujivika u-mungu mtu alivokuwa wazir... je urais???? ASHINDWE KABISA
Kweli pia hana haiba ya kiongozi. Tuwe makini watanzania, Magufuli sio.