Magufuli ana kasi au hamu?

Magufuli ana kasi au hamu?

Joined
Jun 9, 2011
Posts
92
Reaction score
53
Kinachoimbwa kuwa "kasi" ya Magufuli ni nini hasa? ni ziara za kushtukiza? ni matamko ya "nitafanya....", hapa kasi nini? hii kasi mbona bado haijanigusa? nauliza tu hivi nikienda mhimbili sasa hivi hakuna mgonjwa aliyelala chini? kasi inapimwa kwa kutekeleza mipango! nachoona ni hamu ya Magufuli kuaminisha wananchi kuwa yeye ndo suluhisho la matatizo ya nchi hii, labda sijamwelewa? ama?
 
Back
Top Bottom