Mjomba nimekupata mjomba,, akiri ni zaidi ya akili.Mjomba una "akiri" sana ila unaonaje ukiongezea na "akili" ili uwe vizuri zaidi? Natania tu mjomba.
Na kwa miaka hiyo mitatu watastaafu wangapi? Watakufa wangapi? Watapata ugonjwa au vilema vya kushindwa kulinda ajira zao wangapi? na.............wangapi? na.......... wangapi? na..........wangapi? Dunia haisimami, inasonga mbele.
Kilimo kwanza kitawahusuHao 120,000 watakaofukuzwa wataenda mbinguni?
amechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
12000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.
2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry ukiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...
Ni kweli lakini nimesema zoezi LA uhakiki linaendelea hivyo elfu 12 inaweza kuongezeka adi 20,000(makadirio)ISIPO KUA HESABU YAKO NAONA KAMA HAIPO SAWA 12000+100000=120000??? NADHANI NI NI 112000
Sawa mjomba ngoja nikubaRiane na wewe iRikusudi Tanzania isonge mbeRe.Mjomba nimekupata mjomba,, akiri ni zaidi ya akili.
Sawa Mjomba ni kweli Tanzania itasonga mbere sasa ,,,,kwani kusonga mbele kumetuzingua mda mrefuSawa mjomba ngoja nikubaRiane na wewe iRikusudi Tanzania isonge mbeRe.
ndio mkuu ,natoka ziwani mkuu usiku huu kutafuta samaki lake tanganyikaMoes ndio unarudi kilabuni nini Saa hizi, 'umechafuta' cha kuandika weeeeeee ukaona uibuke na hii. Haya bwana
Basi mjomba usichoke kuniombea.Sawa Mjomba ni kweli Tanzania itasonga mbere sasa ,,,,kwani kusonga mbele kumetuzingua mda mrefu
Hao 120,000 watakaofukuzwa wataenda mbinguni?
Akili zipi? Katika hesabu zako umeinclude 20,000 hewa! Unajua maana ya mfanyakazi hewa? Kwamba hayupo physically but anaonekana kwnye payroll ya serekli! Hiyo ndio hewa. Kuwaondoa hao hewa hakucreate ajira bali kunaipunguzia mtumizi ya serekali! Kwa hiyo comment yko ni ya kijinga tuamechafuta wafanyakazi hewa takribani=12,000.(zoezi LA uhakiki linaendelea idadi inaweza kufika 20,000)
Kwenye zoezi LA vyeti feki piga ,ua ataondoka na vichwa vya watumishi si chini ya=100,000
Sasa twende kwenye hesabu.
20,000+100,000=120,000.
Apo tayari ametengeneza ajira mpya 120,000.
Baada ya muda matangazo kwenye magazeti.
1.serikali yatangaza nafasi 50,000 mpya za ajira. 2016/2017.
2. 2017/2018/= nafasi mpya 40,000
3.2018/2019,,,nafasi mpya 30,000.
50,000+40,000+30,000=120,000.
Wanaondoka watumishi takribani120,000 feki,,ajira mpya 120,000 zinatengenezwa kwa ndani ya miaka3 ijayo...adi apo equation itakuwa imbalance,,duh ama kweli jpm uliitendea haki chemistry ukiwa shule.
Aya kazi kwenu wazee wa vyeti feki...