Unapenda picha sio? Hii hapa chukua!
View attachment 268276
Hii picha hawa watu nawafananisha kutoka kushoto; TB Joshua, John Pombe, Tundu Lissu na sijui mama nani!
First attenders kwa babu wa Loliondo alikuwa magufuri, seems anaamini haya mambo inclusive na ushirikinaLeo nmemuona mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, akiwa na mkuu wa KKKT katika usharika wa Azania Front.
Magufuli alifika kanisani hapo majira ya saa sita mcha, akiwa yeye, dereva pamoja na mtu mmoja tu kwenye gari yake..
Alifika kimyakimya na kupokelewa na Askofu Mallasusa na kwenda mojamoja kwenye ofisi ya mchungaji kanisani hapo. Baada ya mda wa nusu saa alitoka tena kimyakimya na kuondoka.
Nadhani alienda kuwekewa mkono wa baraka!!
Hivi Magufuli ni Mlutheri au Mkatoliki?