Unashangaa msafara rasmi wa magufuri kuwa na magari 26 tu?! aise we hujui kinachoendelea... uliona msafara wa lowassa dar? Hayo kwanza tuachane nayo magari yalikuwa hayana idadi. Na jana pia alipokuwa anaenda msibani arusha alikuwa na magari 40 na pimipiki 400. Achana na lowassa wewe
Kanda ya ziwa ipi? Labda kwenu huko kaskazini..Magufuli kanda ya ziwa atabeba kura mpaka zimkinai.kanda ya ZIWA TUNAMTAKA LOWASSA magufuri apewe wizara tu ,awe waziri .
"Kaka yangu kheri ungetenda haki kwa kusimama miguu miwili" ni dhahili umeonyesha mapenzi yako kwa upande mmoja"
Habari kama hizi ndio zinanifungua macho kwakiasi kikubwa na kuona kuwa watanzania tumelogwa na alietuloga kafa!Nilikuwa nimesharudisha imani yangu kwa huyu Mzee Lowasa lakini sasa nasema BIG NO kwa EL!!!Shukran za dhati kwa alieufufua uzi huu.
MIE NAMUOMBEA MAMVI aka E LOWASA ASIMAMISHWE ILI ITUWIE URAISI KUICHUKUA NCHI KUPITIA KWA JEMEDARI WETU CHADEMA, DR W SLAA, EH MOLA TNAMTAKA FISADI PIA GAMBA LOWASA MABADILIKO YAWEZE KUTIMIA

Magufuli msafi sana hakuna mwananchi asiye mjua
Magufuli kwa alikuwa kiongozi wa nchi wakati huo? Angeweza kumzuia Mkapa hasijimilikishe Ikulu ya Lushoto? think before br.