kutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa!Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Jibu hoja utakuwa umemsaidia yeye na taifa, mashambulizi kwa mtu aliyeonyesha kile kinachoonekana hayasaidiiwewe ndiyo umechuja, trust me
Jibu hoja za Nkuba 25 hapo juu yakoMtoa mada ndo unachuja haraka
Umesahau kupandishwa cheo polisi kwa kutukanwa na mke wa waziriKuna sababu kama 4 hivi naziona ndizo zinazomfanya achuje haraka hivi:
1. Kushindwa kwake kudili na majibu (wala rushwa wakubwa) na kubaki kuangaika na kesi za kuku. Hii imejionyesha kwa yeye kunywea kwenye swala la Lugumi, Wezi wa Escrow (kutekeleza maamuzi ya Binge), kuendelea kukumbatia viongozi majizi, HSC na mambo kama hayo.
2. Kuendesha nchi pasipo kufuata utawala wa sheria. Anajiona yeye ndio ultimate decision maker wa kila kitu na hakuna anayejua zaidi yake. Sasa watu wameamua kumuacha afanye kazi zoootee peke yake.
3. Nchi kukosa muelekeo wa kiuchumi. Hii inapelekea kuwa na hali ngumu pasipo sababu. Bado anaangaika na kodi za machinga na mama Ntilie, wakati kule kwenye madini wanawaanchia wazungu wanachukua madhahabu na Almasi bureee kabisa. Hana vyanzo vipya vya kodi zaidi ya kumbana mwananchi wa kawaidi.
4. Kunyima Uhuru wa habari. Hii imejionyeshwa kupitia kukataa kuonyesha Bunge Live kwa sababu ya kuogopa wananchi kuona serikali yake ikikosolewa. Yeye anataka kusifiwa tu, ukimkosoa ni shida.
Rais alituambia hii nchi ni tajiri sana, mbona unapingana na kauli ya mkuu au hujui mkuu anasifiwa tu.Huo ni mtazamo tu..
Binadamu (hasa wa nchi kama hii maskini) wana kawaida ya kuvalia njuga swala fulani kwa wakati fulani lakini kutokana na misongamano mingi ya kimaisha, wana kawaida ya kusahau sana mambo,
So huo ni ugumu tu wa maisha ndo unafanya watu wasahau mambo mengi
Nimekupata mkuu.Umesahau kupandishwa cheo polisi kwa kutukanwa na mke wa waziri
Kuwalinda Lugumi na kitwanga, pia Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, January Makamba juu ya Madili yake kibao, Dau na Ufujaji pesa za Ujenzi wa daraja na miladi mingine ya NSSF , NIDA , ATC , IPTL , escrow, kivuko kibovu cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 , kumbukumbu za uuzaji nyumba za Serikali nk , haya ni mojawapo yanayomkwaza Kwa sasa .Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
kuzuia vibali vya sukari pasipo kuitathimini na kuibua Richmond mpya ya sukari sasa.Kuna sababu kama 4 hivi naziona ndizo zinazomfanya achuje haraka hivi:
1. Kushindwa kwake kudili na majipu (wala rushwa wakubwa) na kubaki kuangaika na kesi za kuku. Hii imejionyesha kwa yeye kunywea kwenye swala la Lugumi, Wezi wa Escrow (kutekeleza maamuzi ya Bunge), kuendelea kukumbatia viongozi majizi, HSC na mambo kama hayo.
2. Kuendesha nchi pasipo kufuata utawala wa sheria. Anajiona yeye ndio ultimate decision maker wa kila kitu na hakuna anayejua zaidi yake. Sasa watu wameamua kumuacha afanye kazi zoootee peke yake.
3. Nchi kukosa muelekeo wa kiuchumi. Hii inapelekea kuwa na hali ngumu pasipo sababu. Bado anaangaika na kodi za machinga na mama Ntilie, wakati kule kwenye madini wanawaanchia wazungu wanachukua madhahabu na Almasi bureee kabisa. Hana vyanzo vipya vya kodi zaidi ya kumbana mwananchi wa kawaidi.
4. Kunyima Uhuru wa habari. Hii imejionyeshwa kupitia kukataa kuonyesha Bunge Live kwa sababu ya kuogopa wananchi kuona serikali yake ikikosolewa. Yeye anataka kusifiwa tu, ukimkosoa ni shida.
Richmond ya sukari ipo njiani inakuja .Chezea ongezeko la mashetani wewe.
Mkuu naomba tujadili ishu ya NIDAKuwalinda Lugumi na kitwanga, pia Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, January Makamba juu ya Madili yake kibao, Dau na Ufujaji pesa za Ujenzi wa daraja na miladi mingine ya NSSF , NIDA , ATC , IPTL , escrow, kivuko kibovu cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 , kumbukumbu za uuzaji nyumba za Serikali nk , haya ni mojawapo yanayomkwaza Kwa sasa .