Magufuli aliwahi kumnadi Ridhwan Kikwete?

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
1,919
Reaction score
2,056
Habari wakuu,

Hvi kwanini Magufuli katika kampeni zake ameshawahi kumnadi Ridhwani Kikwete?
 
Habary wakuu hivi kwa nn magufuri katika kampeni zake amexhawahi kumnadi ridhwani kikwete...,?

Lengo la swali lako linanipa mashaka sana, anyway ameshawahi kumnadi several times
 
Alimnad na alinad mafisad yote na walipewa kitabu cha ilani ya chama cha ccm....kuna wengine aliwaombea msamha kwa wananchi na walipiga hadi magoti!!!! Suala la riz one hakutakiwa amnad hata kidog....hyu naye eti alimuomba maguful apeleke maji chalinze!!!! Hvi kwa pesa aliyonayo, ngvu ya baba ake na fungu la ccm alishindwaje?????? Ni mbunge mzigo kwa watu wa Chalinze na wataisoma numberrrr
 
Actually nasikia alimfokea!
 
Umeandika kwa uzito unaostahili .
 
Ridhiwani I.jpg Ridhiwani I.jpg

Unataka maelezo?
 
Ndo maana CCM wanashinda!, Huyu mtoto wa JK angegombea kwetu, tungempiga chini!
 
Alimnad na alinad mafisad yote na walipewa kitabu cha ilani ya chama cha ccm....kuna wengine aliwaombea msamha kwa wananchi na walipiga hadi magoti!!!! Suala la riz one hakutakiwa amnad hata kidog....hyu naye eti alimuomba maguful apeleke maji chalinze!!!! Hvi kwa pesa aliyonayo, ngvu ya baba ake na fungu la ccm alishindwaje?????? Ni mbunge mzigo kwa watu wa Chalinze na wataisoma numberrrr

Kweli mkuu alimnadi but ili amridhishe kikwete kwenye kampeni kiukweli magufuri hamkubali hataaa huyu dogo na hata hvyo lile jimbo lake alixhalikosa tiale xema tu kuna kamchezo kalifanyika pale jamaa akapewa
 
rzwan na kudi lake ni hatari sana kwa uchumi wa inch yetu
 
Huyu riz one inasemekana kahusika kupora haki za wagombea ila alifeli ukonga alipambana na wakurya wa tarime nasikia walitaka kumghecha na ibhanga mura wetu
Jimbo la mbagala alienda pia naskia aliku Akitembea na mipesa ndani ya gari ila akapambana na kondo bungo ikawa mtiti na kura naskia zilichomwa na marohani (?) aka mamwela
Naskia hakuchoka akaenda mkuranga mjini
Huko alijaribu kumpa besa ally ubuguyu mgombea wa cuf alipogomewa naskia akawahonga askari wakapiga sana tear gas ili watu wasambae na yapandikwe ta uongo
Kama hayo madai yana ukweli basi kanchi ketu bado kanasafari kuelekea nchi ya kidemokrasia
 
Je ndio huyu Riz ambaye ni rafiki Ghalib wa iliyokuwa HSC ambayo ilijitangaza mufilizi.
 
Back
Top Bottom