Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 878
- 3,920
Nguvu yake ilianza from the grassroots (wananchi).
Alikuwa ni mtu wa watu. Hakupenda mtu aonewe bila sababu yoyote.
Ndiyo maana pamoja na kuwanyali mabeberu, aliweza kutoboa katika uongozi wake.
Na siku zote ukitaka utoboe kwenye uongozi wa nchi, basi hakikisha wananchi wanakuelewa kwanza, ikiwa raia hawakuelewi na hawakutaki, tena wakafikia mpaka hatua ya kuandamana, katika dunia ya sasa bora ukae pembeni tu.
CCM wanajua sana, hakuna beberu yoyote anayeenda kufanya investment kwenye nchi isiyo na mshikamano. Iwe Mmarekani, Mu-Europe, Mchina, Muarabu, Mjapani, Mkorea nk.