Magufuli alimlenga nani kusema "hata Obama yuko kimya, haongei ongei"

Tatizo hapa ni kuwa mkuu wa kaya haoni tofauti ya demokrasia inavyoendeshwa huko Marekani na kwetu hapa. Tusimlaumu, pengine huko nyuma hakuona umuhimu wa kujua tofauti. Tujilaumu waTanzania tuliomuingiza ikulu kwa kishindo.
Yaani wakati akisema hayo wazee walikuwa wameinama kwa aibu!Rais anatoaje kauli kama hizo???
 
Back
Top Bottom